Type Here to Get Search Results !

CHOMBEZO: KATERERO SEHEMU YA 10


🔞KATERERO 🔞

Sehemu ya kumi.10

Ilipoishia...

Kumbe! Mariam alikuwa akishuhudia kila kitu dirishani.Na kwakuwa Sam hakufunga Mlango bali alirudishia.Mariam aliingia Mpaka Chumbani.Kwani Dirisha la chumbani lipo nje ya chumba hicho.Na alikuwa akijionea kila kitu.Hivyo aliingia mpaka chumbani humo.Ndio kwanza Sam alikuwa akijiandaa kuanza Kumtia Dada yake Mariam.

Endelea nayo...

Wote walipigwa na butwaa kwa kuuona ujio wa Mariam mahali hapo.

Mariam alitokwa na machozi,bila ya kuzungumza chochote.Aliondoka zake.

Dada yake Mariam naye alijihisi yakuwa hajamfanyia vizuri mdogo wake,hivyo akaacha kuendelea na anachokifanya.Akavaa ukanga wake akaondoka zake.Bila ya kuzungumza chochote.

Ilikuwa ni siku mbaya kwa hawa wote watatu,maana kila mtu.Alikuwa ameharibiwa siku na tukio hilo.

Hata usingizi kwa upande wa Wote Watatu,ulikuwa kwa shida sana.Ukienda kwa upande wa Dada yake Mariam,japo walilala kitanda kimoja.Ila walipeana migongo.

Huku kila mtu akiwa kwenye dimbwi la mawazo.

Na yote baada ya yote.Hakuna aliomuongeresha mwezie.

Usiku ulizidi kuwa mkubwa.Hivyo usingizi uliwapeleka mpaka majira ya Asubuhi.

***

Sam aliamka kwa uchovu,alijihisi kabisa! Siku hiyo hayuko sawa na alijihisi ameanza kuingiwa na mikosi.Kwani kila akitaka kumtafuna Mariam linatokea balaa ambalo linamuweka mbali na Mariam.Na hata akitaka kumtafuna Dada yake Mariam napo linatokea balaa ambalo linafanya awakose wote.

Alijua tu kivyovyote kuna shida.Hivyo siku hiyo hakwenda kazini.Hii ilifanya ampigie baba yake ambaye anajihusisha na maswala ya dawa za kienyeji,aliokuwa kigoma Kasuru.Kwa wakati huo.

Ilimbidi anunue muda wa maongezi kupitia m-pesa,kisha akampigia simu Baba yake.

Alizungumza naye kwa sauti ya chini ili wapangaji wasisikilize chochote.

Baba yake alimpa majibu ambayo hakuyategemea.

"MWANANGU,ALIYEKUFUNGA NI YULE MWANADADA ULIYEHAMA KWASABABU YAKE."

"Baba unanisaidieje?Na alinifungaje?"

"ALIKUFUNGA USIKUTANE NA MWANAMKE YOYOTE ISIPOKUWA YEYE."

"Baba unanisaidieje."

"KUNA MAELEKEZO NAKUPA YAFUATE."

"Ndio baba.!"

"Nenda kwa wamasai kuna dawa wanaiita wakwao.Inunue dawa hiyo changanya kwenye kikombe kwa chai.Huwa ni kidogo sana kama kijiko kimoja.Kisha kunywa hapo ndipo utakuwa umekata kila kitu."

"Sawa Baba nashukuru."

Muda huo Sam hakutaka kuendelea kuupoteza.

Alijiandaa kisha akaelekea kwa wamasai.Na siku hiyo alipanga kutofungua duka kwani hakujihisi vizuri hata kidogo.

Hatimaye kila kitu kilienda sawa.Na hata alivyofika muuzaji alikuwa ni Mmama,huku akiachia tabasamu na kumuuliza swali liliochanganyana na Lafudhi ya Kimasai.

"Eeh Kijana! Umefungwa." Simulizi hii ipo yote kama unahiitaji nitafute Whatsapp namba 0629980412 nikutumie yote njoo sasa hivi niko Online muda wote.Njoo nikutumie.

"Ndio Mama."

"Wee umejuaje."

"Baba yuko kijijini kaniambia."

"Sawa kijana! Hii dawa nenda uchanganye yote kwenye kikombe kimoja cha chai,kunywa yote,halafu utajionea matokeo."

Sam kwa imani aliamini kila kitu kitaenda sawa.Alipiga hatua kana kwamba anamkimbia mtu,ila hataki kuonekana kama anakimbia.

Ili aweze kufika anapoishi mapema!

Hatimaye alifika anapoishi,alichemsha chai kwenye jiko la Gesi ndani ya dakika chache.Chai tayari alichomoa dawa iliofungwa kwa kutumia Gazeti.Kisha akatumia kijiko kuimiminia ndani ya kikombe cha chai.

Alimimina yote,kisha akaanza kuikorogea mpaka alipoona,tayari imeshachanganyikana.

Kwa pupa aliinywa yote,kisha akaelekea bafuni na kupiga mswaki.Kwani dawa yenyewe ilikuwa chungu balaa.Ilimfanya muda wote aendelee kukunja uso kama atajisaidia haja ambayo haitoki na anatumia  nguvu ili itoke.!

Alivyomaliza alitulia zake huku akiendelea kutafakari wapi! Aanzie kwa maana alijihisi mwepesi sana.
Baada ya kunywa dawa hiyo,hakujua hiyo dawa italeta kitu gani.Ambacho hakutegemea kukipata.Maana tukija kwa Mariam kwa Anavyojua Sam tayari ameshampoteza.Dada yake Mariam naye ameshampoteza.

Alihuzunika kwa muda mchache,kisha akairuhusu furaha imtawale.

Aliamua kumpigia baba yake kwa kumpa ahsante,japo kufikia mpaka muda huo hakuona mabadiriko yoyote yakuonyesha ni kweli alikuwa amefungwa tofauti na kuwa alijihisi mwepesi tofauti na ilivyokuwa mwanzo.

Baada ya kumaliza kuzungumza na Baba yake,alijihisi kuwa na Wazungu sana.Hivyo aliingia chooni ili apige kimoja maisha yaendelee.

Lakini alighairi,mwanaume rijali kama yeye hawezi kosa kabisa,wa kumpitia.Mpaka apige puchu.Kwa hilo alighairi.Aliona kuna umuhimu wa yeye kwenda kazini.Kwa maana hata alichokuwa akikisubiria,hakikujilikana.Na wakati kwa muda  huo alijihisi yuko sawa kabisa.!

Aliamua kufungua mlango ili kuichukulia nje kidogo.Kama jua limeshakuwa kali.

Ila hakuamini  macho yake kwa aliyemuona mbele yake.

Je,nini kitaendelea........ Simulizi hii ipo yote kama unahiitaji nitafute Whatsapp namba 0629980412 nikutumie yote njoo sasa hivi niko Online muda wote.Njoo nikutumie.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad

Hollywood Movies