Type Here to Get Search Results !

CHOMBEZO: 🔞KATERERO 🔞 SEHEMU YA 13



🔞KATERERO 🔞

Sehemu ya kumi na tatu.

Ilipoishia....

"Basi kama huna bifu na yeyote,naomba leo usiku tushiriki chakula cha pamoja."

"Sawa emea tu baba mjini hamna cha bure."

Sam alichukua shilingi Elfu tano na kumkabidhi.

"Nadhani itatosha.!"

"Sawa,inatosha utakuja muda wowote utakao."

Endelea nayo......

Ashura aliondoka zake huku akimuacha Sam alioendelea kujiuliza maswali mara mbili mbili jinsi atakavyomtafuna Ashura.

Kwani alikuwa na umbo Fulani hivi linaloshawishi.

Huku nyuma akiwa amejazia vilivyo.

Akiwa ametulia zake huku muda ukizidi kwenda,na pia akiendelea kuhudumia wateja mbalimbali.Alikuwa akipokea jumbe nyingi kutoka kwa Dada yake Mariam pamoja na Mariam.Huku wote wakiendelea kumuomba kama hatojali watiane siku hiyo usiku kucha.

Huku wakiendelea kumwagia pongezi lukuki.Kuhusu raha wanazozipata kila wanapokutana na yeye.

Sam hakuweza kumjibu hata mmoja kwa kuhofia kuwaambia kitu,ambacho mbeleni angekuja kujuta kwa kugonganisha magari.Ila tena alifikiria na kuona endapo akikaa kimya ndipo atagonganisha magari ambayo hataki yagongane.Hivyo alianza kuwadanganya.Wote wawili yakuwa siku hiyo hajisikii vizuri labda siku inayofuaya.

Japo wote walimuelewa ila hawakuacha kulaumu kadri wawezavyo.

Huku mipango yake ilikuwa ni kumtafuta binti Ashura,mpangaji mwenzie.

Muda nao haukuwa rafiki hatimaye muda wa kufunga ulitimia.

Sam alifunga bila ya kuwa na haraka,huwa na kawaida ya kufanya maemezi ya chakula kisha anapeleka kwake kwa ajili ya kuandaa chakula cha usiku,lakini siku hiyo hakununua chakula chochote kwani imani yake kubwa inatakiwa aonekane ana njaa kweli.Ili hata akienda.Hasipate shida ya kula atandike kweli chakula tena kisawa sawa.Ili hasionekani kilichompeleka hakikuwa chakula.

Alianza kutembea mwendo wake wa pole pole,

Huku moyoni akijawa na amani ya ushindi.
Alipokuwa akifanyia kazi na anapoishi hakukuwa mbali hata angetembea pole pole kama kinyonga.Hazizidi dakika kumi na tano.Tayari ameshafika.

Akiwa anakaribia na kuanza kufungua geti ili aingie ndani.
Alivutwa na Mariam aliokuwepo nje hapo kwa muda,kisha akampeleka nyuma ya nyumba.Kuliko tawaliwa na giza.

Alianza kunyonya lips zake huku Sam akiendelea kuzubaa kwani kwa kilichokuwa kikiendelea,aliona kama ni uchawi tu wa mapenzi.Katerero imemloga binti wa watu. Simulizi hii ipo yote kama unahiitaji nitafute Whatsapp namba 0759371533 nikutumie yote njoo sasa hivi niko Online muda wote.Njoo nikutumie.

Mariam alinyonya Sana lips za Sam.
Kisha akaacha na kuanza kumtazama usoni.

"Nakupenda Sam naomba unisiniumize,naomba usinichiti.Niwe ni mimi Tu."

Sam aliendelea kutazama macho legevu ya Mariam yaliokuwa yakimtazama pia.

"Sam nambie chochote basi."

Ukitaka uishi na mwanamke vizuri,kuwa muongo.Sam aliikumbuka kauli hii aliopewa na baba yake, huku akiwa na umri mdogo sana.Anakumbuka alipewa kauli hii hasa pale alipokuwa akimuuliza baba yake kwanini anapenda sana kumdanganya mama yake.

Ndipo baba yake Sam alipompa kauli hii.Japo  ilikuwa zamani na ni wakati ambao Sam alikuwa mtoto.Lakini hakuwahi kuisahau kauli hiyo.

Hivyo hata Mariam alimdanganya.

"Ndio Mariam nakuhaidi siwezi kukuchiti ni wewe Tu."

Mariam alifurahi sana,kwakuwa alikuwa amevaa kasketi flani hivi.Alikapandisha kisha akamuomba Sam amtie kamoja tu.

Sam alimwambia Mariam hawezi fanya naye mapenzi bila maandalizi hajazoea hivyo.

Mariam aliitikia kishingo upande,akashusha nguo yake na kumkumbatia Sam kisha akaondoka zake.

Sam alivuta pumzi ya kutosha kisha taratibu akaanza kuishusha kwa kutuliza presha iliokuwa ikimtawala.

Sam aliingia ndani,kwakuwa ye ndio aliokuwa akitoka kazini wa mwisho na kama utaratibu wa nyumba hiyo wa mwisho ndiye anayefunga geti.
Hivyo Sam alifunga geti na kusalimiana na wadada waliokuwa nje hapo kisha akaingia zake kwenye chumba chake hapo ni baada ya kufungua mlango.

Alivyoingia,ilimbidi moja kwa moja aende kuoga.Hakuchukua muda mwingi bafuni kisha akatoka.

Akiwa ameketi sebuleni huku akisubiri majirani wapungue nje aende kwenye chumba cha Ashura.

Ujumbe uliingia kwenye simu yake kutoka kwa Mariam.

"Leo hujisikii kutoka hata nje.?"

"Hapana nalala sasa hivi nimechoka kweli."

"Sawa usiku mwema mume wangu."

"Na kwako pia Mke wangu."

Yalivyofika majira ya saa tano.

Huku nje pakiwa pametulia,alienda kwenye chumba cha Ashura kisha akagonga hodi taratibu na kwa utulivu.

Ashura alifungua mlango huku akishangaa ujio wa Sam.

"Sa mbona hukuja mapema.!"

"Hii ndio mida sasa."

"Lakini leo unaonekana kuchoka kweli si ukapumzike tu."

"Wewe kati ya siku ambazo nina mood ni leo niko vizuri sina uchovu wowote ule."

"Haya ingia nikuandalie chakula basi."

Sam akiwa tayari amevua viatu na  kuingia ndani,hakuamini macho yake kwani alimkuta Mariam akiwa ndani kwa Ashura huku akiwa anamtazama kwa jicho la jazba.

Je,nini kitaendelea......
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad

Hollywood Movies