Type Here to Get Search Results !

CHOMBEZO: KATERERO 🔞 SEHEMU YA 6


🔞

SEHEMU YA 06

Ilipoishia...

Akiwa anapiga hatua chache za kubana mlango kabla hajafika kuubana,mlango ulibishwa.Na Kwakuwa ulikuwa wazi hivyo ulifunguka.

Sam alitazamana macho kwa Macho na mwanadada yule Aliyekuwa naye usiku wa jana.

Huku akiwa amekasirika sana.

"Nipishe nipite au mpaka niwe nakunyooshea bastola ndipo akili zitakapokuijia.Naomba unipishe au unamwanamke  humu na kama unaye wewe na yeye wote nawaua."

Endelea nayo...

Sam alimtazama Bi dada,na kugundua yakuwa amelewa chakali.

Alimpisha bila ubishi asije kumfanyia fujo,kama bahati bi dada alijirusha kwenye sofa la sebuleni hapo nakuanza kupambana na usingizi.

Alichokuwa akijiuliza Sam ni kitu kimoja,itakuaje Mariam akimuona,au itakuaje bi dada akimuona Mariam.

Aliumiza kichwa kwa muda bila ya kupata jibu,huku nao muda ukizidi kusonga mbele.

Alifikiria sana bila ya kukosa jibu,ndipo akaamua,kupata kimoja au akose vyote,alibana mlango kisha akaingia Chumbani.Alichoamua ni kumueleza Mariam yakuwa aliyopo Sebuleni ni nani? Ili  hata wakati anamuondosha eneo hilo hasionekane muongo.

Na akawa hata tayari kuwapoteza wote.

Alimkuta  Mariam akiwa uchi wa mnayama.Tofauti na alivyokuwa amemuacha.Yani tayari alikuwa ameshajiandaa kwa kila kitu.

Akiwa anamtazama Mariam,wazo jingine lilimuijia yakuwa endapo,yule wa Sebuleni pombe zikimuishia.Atakuja chumbani hivyo kwa haraka akabana mlango wa chumbani.

Kisha akaanza kuzungumza na Mariam huku akiwa kitandani.

"Kuna kahaba fulani hivi wa rafiki yangu ananisumbuaga sana.Na akilewaga anafanyaja fujo kweli."

"Yuko wapi?"Mariam aliuliza kwa mshangao,huku akiinuka kutoka kulala hadi kuketi huku akitumia shuka kuziba sehemu zake zote nyeti.

"Yuko sebuleni,ananilazimisha niwe mpenzi wake,na nimfanya fujo kweli.Na atakapokuona yuko tayari kwa chochote."

"Mimi naondoka sasa."

"Aha Mariam,hapa ni kwangu,kuwa mtulivu.Itabidi twende Guest sasa hivi,tukimaliza kila kitu,mi nitarejea huku asije kuniibia maana hata kwao sipafahamu.We utalala Geust sawa?"

"Sawa."

Mariam alivaa nguo zake kishingo upande kisha naye Sam akajiweka sawa huku moyoni akiwa na hasira,akitamani hata kumtafuna mwanadada yule.
Simulizi hii ipo yote kama unahiitaji nitafute Whatsapp namba 0629980412 nikutumie yote njoo sasa hivi niko Online muda wote.Njoo nikutumie.
Alichukua kiasi kadhaa cha fedha.

Kisha akambeba Mariam mgongoni na kuondoka naye.Huku Mariam akicheka kwa chini  chini na kumfanya,aghalau naye Sam atabasamu.

Sam alikuwa akinyata.Huku mgongoni akiwa na Mariam

Alinyata na hatimaye kutoka nje,kisha wote mbio,hadi Geust.Kwani haikuwa mbali.Ilikuwa ni mtaa huo huo,sema unavuka baadhi ya nyumba na huchukui hata dakika tano zaidi.

Walifanikiwa kufika,kama bahati nzuri,chumba kilikuwa kimebaki kimoja.Alilipia na kuchukua vinywaji kadhaa kisha wapelekwa hadi chumba husika na kuingia ndani.Kwa pamoja wote walikilukia  kitanda kwa furaha.

Kitu ambacho hawafahamu wakati wanaondoka.

Kumbe! mwanadada yule,pombe zilikuwa zimekata.Hivyo aliwafatilia hadi Geust.Kwa msimamo wa Mama Geust aligoma kumuelekeza mdada huyo,yakuwa wakina Sam wameingia kwenye chumba gani.

Na Sam hakulitambua hilo.

Sam kwakuwa alikuwa na uhuru,walianza kunywa kwanza vinywaji walivyonunua.

Kabla hajaanza kumtafuna Mariam.

Wakiwa wanaendelea,kunywa vinywaji kadhaa.Mlango uligonga.Sam hakuwa na Wasi wasi.Alijua tu ni mama gheto.

Alifungua mlango,ni kweli alikuwa mama gheto.

"KAKA KUNA MDADA ANAKUFATILIA KUWA MAKINI,KANILAZIMISHA NISEME UPO CHUMBA GANI NIMEKATAA.KUWA MAKINI.NIMEMUACHA PALE MAPOKEZI AKIONDOKA NITAKUJA KUKUTAARIFU."

Sam aliishiwa nguvu,na kujilaumu kwanini alimpiga Katerero kahaba.Alifunga mlango na kurudi alipo Mariam.

"Anasemaje?"Mariam aliuliza.

"Ananiuliza kama nahitaji huduma yoyote inapatikana,kwa maana wanatoa huduma masaa 24hrs."

Kwa hilo  Sam hakuweza kumueleza Mariam kwani angempa hofu.

Aliendelea kuwa na tabasamu la uongo.

Mpaka kuna muda Mariam alianza kugundua yakuwa kuna tatizo.Ila hakujali.

Hatimaye kila mtu alimaliza kinywaji chake,wakati Sam anajiandaa kuanza show,hodi aliokuwa akiisubiri kutoka kwa mama Gheto yakuwa tayari mwanadada yule ameshaondoka.Ilisikika na hii ilimpa tabasamu Sam kinyume na alivyokuwa.Na kujikuta yupo huru ili aanze kumtafuna Mariam.

Alivyofungua tu Mlango.Alikumbana na sura ya Mwanadada kahaba,huku akiwa amenuna na kufura.Hii ilidhihirisha ana hasira kali isiokuwa na kipimo.

Je,nini kitaendelea...... Simulizi hii ipo yote kama unahiitaji nitafute Whatsapp namba 0629980412 nikutumie yote njoo sasa hivi niko Online muda wote.Njoo nikutumie.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad

Hollywood Movies