🌹🔥
EPSOD 1
Amakweli dunia inamengi mengine yenye maajaabu ilikuwa ni usiku mmoja
nikiwa nimelala usiku nilijiona nikiwa mbali sana pamoja na watu waliovaa
nguo nyeusi sikuwa naelewa tulikuwa tunfanya nini
‘Hahaha umemleta mwana wa kigo kuaangalia utwala wake ‘‘
‘’Ndio mkuu nimemleta kumtambulisha’’
‘’safi sana ebu nipe hiyo zana yangu’’,;
alichukuwa zana moja yenyeumbo
kama la pembe lenye kung’aa sana alilichukuwa na kuniweka kichwani
kwangu nilikuwa sina cha kufanya mana nilikuwa sina hata nguvuvu ya
kuongea wala kufanya chochote baada ya kuniweka alichukuwa kitu kama
cheni yenye vifungu vingii vyenye vitambaa vya rangi nyekundu nyeusi
na nyeupe walinivisha shingoni nakupita kwenye kwapa yagu ya kushoto
alianza kuongea maneno nisiyoyajua huku akinizunguka na wengine wakiwa
wanaitikia kwa maneno ya chini alipomaliza nilimsikia akiteta na yule
mmama alienifikisha pale apokuwa sikumjua kwa sura kwa jinsi
walivyovaa na kujipaka usoni vitu kama rangi hivi
‘’Huyu kijana atahitajika kesho ili tumalizie dawa iliyobaki’’
aliitikia kwa kichwa yule mmama
Asubuhi nilipoamka nillihisi nimechoka sana niliondoka hadi kwa bibi
yangu alieishi mbali kidogo nilipofika nilimweleza yote yalionitokea
leo
‘’Mjukuu wangu beka achaa nikwambie asili ya maisha yako’’
‘’Maisha yangu’’ nilishikwa na mshangao kwa kusikia vile
‘’Ndio maisha yako mjukuu wangu wewe ni mtot wa pekee kwa wazazi wako
ambao hatuponao tena hapa duniani naimani unalitambua hilo?’’
‘’Ndio bibi nalitambua’’
‘’Ukweli ni kwamba wewe ni mtoto uliepatikana kwa mganga…..’’
‘’unasemaje bibi mimi ni….’’ niliuiza huku nikifikiri bibi ananidanya
‘’uKweli ni huo mama yako hakuwa na uwezo wa kushika ujauzito hivyo
iliwalazimu watafute njia madala ili wapate mtoto hivyo walieenda
kwa mganga ili wapate mtoto ndi walipokupata wewe.’’
‘’Inamana mimi sio mwanadamu…’’
‘’niliuliza ili nipate kujijua’’
‘’Hapana wewe ni mwanadamu kamili kama sisi ila mganga aliwapa dawa
wazazi wako ili mama yako aweze ushika ujauzito’’
‘’Kwahyo bibi mimi nitaishi vip?’’
‘’Itakuhitaij maishayako ukubali yale yanayokutokea na kila mwisho wa
mwaka inahijika uende kwenye mlima tunaoendaga kule ukafanye tambiko
kama tunavyofanya kila mwaka hivyo ndio maisha yako inabidi uishi’’
Nilibaki na mawazo kichwani
‘’hivi mimi ni mwanadamu gaani nitaishi
kama mtumwa’’
Ni kweli alicchosema bibi ilikuwa kawaida mwishoni mwa mawaka tarehe
27_30 mwezi wa kumi na mbili huwa tunaenda kwenye mlima uliopo karibu
na makazi yetu na kufanya sadaka kama tambiko hivi
Siku hiyo sikutakaa kulala kule kijijini kwa uoga wa mambo ya usiku
nilichukuwa nguo zangu na kwenda kwa mjomba angu alipoko mjini nilianza
safari majira ya saamoja hivi ya usiku tulitenbea kamaa saa limoja
hivi ghafla lile gari niliopanda……
na @King Author
WhatsApp 0629980412
Epsod 2
Ghafla lile gari niliopanda……endelea nayo
….
lilipata pancha (kupasuka tairi) tukiwa njiani ilitubidi tushuke
ili lifanyiwe matengenezo tulishuka na kuka kandokando na lile gari
‘’Mambo ?’’alikuwa ni msichana mweye umri wa miaka kama kumi na saba hivi
‘’Poa niambie?’’ ‘’Poa unaeda wapi huku?’’
‘’Naenda kwa mjomba angu hako mjini’’
‘’ah naona kama unamawazo hivi
kunatatizo?’’
‘’Amna mi ni kawaida yangu kuwa hivi kwahiyo usishangae’’
Alikuwa ni msichana mcheshi sana tulipiga story hadi gari lilipopona
na kuendelea na safari niipofika kwa mjomba nilipokelewa vizuri tu na
tuliendeleaa kuishi tuliishi vizuri sana wakati ule.
tuliishi ndani ya mwaka mmoja niliweza ufungua bishara ya duka na
kujiitafutia kipato.
ilikuwa siku moja usiku yapata kama saa nane za
usiku nilisikia sauti kali yenye muungurumoo kama wa radi ndani
ya nyumba tuliokuwa tukiishi niliamka na kuanza kutembea taratibu
kuelekea sauti kule ilikotokea nilifungua mlango taratibuu kwa
umakini nilisikia sauti ikitokea chooni niliisogea taratibu sana
hadi kwenye mlango wa chooni
‘’Mjombaa mjomba mjomba…’’’’ shangazi …shangazi…. shangazi ‘’niliita
kwa sauti ya uoga bila kujibiwa huku taa ya chooni ikiwa imewaka
nilisogea taratibu na kuanza kufungua mang ghafla ile taa ilizima
nilifunga mlango na kukimbilia chumbani kwangu
‘’Jamani mbona haya mambo hayaishi kwangu,kila siku ni mtu wa matatizo
tu?’’ Kipindi najiuliza hayo ghafla mwanga wa kung”aa mithiri ya
tochi kali ilinimulika usoni ikitokea kwenye kona ya ukuta na sauti
yenye ukali ilitoka
‘Wewe kijana unavunja maagano ya wazazi wako kwetu mwaka umepita
hujatupatia shukurani yako kwetu wewe ni agano letu pamoja na wazazi
wako kesho saa tisa alasiri itatakiwa urudi uje utupe sadaka yetu’’
Niiogopa sana ila sikuwa na chakufanya nilikukubaliana na hali kwakuwa
mimi ni mwanadamu ila sio wa halali
Asubuh nilipoamka niliendelea na kazi zangu hadi jioni sikwenda kutoa
shukurani yagu ghfla majira ya saamoja wateja wengi sana walikuwa
dukani kwangu na sio kawaida hali ambayo iliniifanya nichelewe
kufunga
Nilifunga saa mbili inaelekea saa tatu nilifunga na kuelekea nyumbani
kipindi naludi nipo njiani nilisikia sauti ya mtu ikiwa inaniita
‘’Beka.. beka.. beka’’
niliangaza huk na kule sikuona mtu niliendelea na safari nilipiga
hatua chache nilisikia sauti ikiniita tena
‘’Beka.. beka.. beka’’ niligeuka na kuangaza sikuoa chochote ghafla mbele……
na @King Author
WhatsApp 0629980412
Epsod 3
Ghfla mbele yagu niliona taa kali ikiwa nanimulika mithili ya taa ya
pikipiki nilisogelea kwa kuhitaji ipite nilifikiri ni pikipiki
macho
yagu yalishikwa na butwaa nilipowaona watu wengi wenye urefu wafupi mno ivi wakiwa waameongozana wengi sana nilipoangalia vizuri niliona mmoja
kati yao amenigeukia na kuniangalia akasogea hadi pale nilipo
akaniangalia na kurudi atua mbili nyuma ghafla nilichapwa mgongoni
kwangu
‘’Paaa.paaa’’
Nilishituka na kuanza kukimbia hovyo huku nikiwa sifahamu wapi
ninakoelekea nilikimbia sana hadi nilichoka
Niipotazama mbele niliona watu wakiwa wanaeda ninakoelekea wakiwa
amevaa mavazi meupe nilifiiri ni watu wanatoka kuswali mim
niliwakimbiliana kuakaribia ili nitanguzane nao
‘’Mh usije ni wale wale? ngoja nikae nyuma nyuma’’niliwafuata taratibu
nilipowaangalia walisimama na mimi nilisimama huku nikiwaagalia nini
kinachofuata mara nikaona wanarudi ila cha kushangaa hawakugeuka yani
kama gari vile linarudi nyuma nywele zangu zilisisiimka na vinyoleo
vyangu vilisimama niliwapisha niipoangalia kwa makini hakuwa watu wa
kawaida ila ni mithiri ya mtu aliekufa yaani walikuwa wamepauka na
walikuwa na pamba puani kama mtu aliekufa nguvu ziliniisha na
nikasikiasauti ikitoka na yenye mwangwi ikisema;
‘’Umekuwak iburi unatupinga sisi?’’ niliaguka chini na kupoteza fahamu
nilizindukka nikiwa hospitaini huku nikiwa niezungukwa na mjombaa
pamoja na shangazi
‘’Boraa amepata fahamu.nilisikia akiongea mjomba angu.’’
‘’Kwani nimefanyaje hadi nipo hapaa?’’
‘’Niliuiza umeokotwa huko
barabaraani ukiwa umepoteza’’
faham
Sikuendelea kuhooji nilikaaa kimya hadi iliporuhusiwa na kurudi
nyumbni sikuwa na nguvu ya kwenda kwenye biasharaa yangu nlila usiku
hiyo usiku ulipofika wakati nipo usingizini nilijiioon nipo katikati
ya mti mkubwa wenye matawi makubwa huku mbele yangu kukiwa
kunamishumaa ya rangi tatu nyeupe nyekundu na nyeusi
Nilisikia sauti ikinionya;
‘’Wewe kijana tumekuvumilia sana ila unonekana umekuwa mkaidi kwa
wazazi wako kwa kufuata agano letu sasa ngoja tukuonyeshe’’
‘’Nilishtuka kutoka usingizini’’ nikiwa najiuliza mara simu yangu
iiita nilipongalia ilikuwa ni namba ngeni
Hellow…hellow
‘’Duka lako linaunguaa’’…
na @King Author
WhatsApp 0629980412
Epsod 4
‘’Dukalako linaungua huku njoo haraka’’. Nilishtuka baada ya kusiki
taarifaa ile
Niliaamka na kukimbia harakahadi eneo la tukio nilikuta kweli duka
langu linateketea kwa moto
sikufanikisha kuokoa chochote katika duka lile
siku iliofuta
nilifunga safari hadi kijijini nilipokelewa kwa furahaa sana na bibi
yangu nilitoka na kulekea juu ya mlima ili kufanya sadaka za mizimu
inayosimamia maisha yangu niliingia kwenye pago niliingopa sana
kwakuwa nilikuwa nimekaadi maagizo yao niliingia ndani zaidi na hadi
kwenyechumba ambacho kilikuwa chenyegiza kiasi kikiwa kinamwanga wa
mishumaa pekee
nillivua nguo zagu na kuchukuwa nguo yeusi na kuvaa
mwilini mwangu
Ghafla nilihisi kama kunakitu kinatembea mwilini mwagu nywele
zilisisimka na mwiliwangu ulisisimka sana
nilipotazama alikuwa ni nyoka mkubwa mwenye rangi ya kung’aa na
kichwani alikuwa na pembe moja katikati aliingia ndani ya nguo zangu
na kuanza kunizuguka na kuanza kuniramba mwilini mwangu kwa ulimi
wake mkubwa mwili ulisisimka sana yaanina ule mwili wa Yule nyoka
ulivyo wa baridi mwili ulisisimka sana
Nilitetemeka sana maana ilikuwa tofauta sana namaagano
tuliokuatukiyafanya na bibi yangu ,Aliniramba kisha akaja mbele yangu
na kunitazama nilitetemekaa sana alionekana ni nyoka mwenye hasira
sana, Mara ilisikika sauti kutoka kwenye chumba kilichofuata ambacho
kilikuwa chenye kiza kinene
“kijana..kijana ..kijana..umekaidi maagizo yawazazi wako ingali
walishakupa agizo’’
‘’Hapana ni masharti magumu sana kwangu naomba mnibadilishie’’
Nilionngea kwa uoga sana huku nyoka akizidi kuniramba,
‘’Samahaani mkuu nafaham nimekosea naomba unisamehe’’
‘’hapana umekuwa mkaidi sana katika agano letu ni kuhitadi sadaka kila
mwishoni wa mwaka umekiuka hakuna msamaha kwa yeyote atakaeiuka agano
letu’’
Nililia sana na kuomb radhi ghafla yule nyoka aliacha kuniramba na
kupotea kama upepo ilisikika sauti ikiongea kutoka mule kenye chumba
‘’Kijana nimekusamehe ila msamaha wangu utakamilika pale
utakaponikamilishia sadaka yangu ingia kenye chumba ukionacho mbele
yako ukubaliane na sadaka tutakayohitaji’’
Niliingia taratibu kilionekana ni chuba kidogo sana kipindi nipo nje
ila kipindi nimeingia kilikuwa ni chumba kikubwa chenye nafasi ya
kutosha nilipotazama mbele niliona mishumaa mitatu yenyerangi nyekundu
na nyeupe niliingia
‘’Kaa hapo kwenye hicho kiapo kilichopo pembeni mwako’’
nilipotazama niliona kibuyu kikubwa kama mtungi kikiwa
kimeviringishwa shanga nyeupe na nyekundu
Nisogea na kukaa juu yake
Ghafla alitokea……
na @King Author
WhatsApp 0629980412
AGANO LA SHETANI LILIVYONITESA
Epsod 5
Endelea nayo....
..Ghafla alitoke paka mkubwa mwenye rangi nyeusi na nyeupe kichwani
alikuwa kashika kitu mdomoni aliposogea kilikuwa ni kisu alisogea na
kukileta kwangu ,
‘’Chukuwa hicho kisu,’’ niliambiwa na sauti iliyokuwa ikinielekeza
Nilichukuwa na kukishika vizuri
‘’chukuwa Hicho kisu na toa sadaka ya kidole chako hapo juu ya hilo jiwe’’
‘’Mkuu nomba usinipe hadhabu hii naaomba nibadilishie’’
‘’Hapana hii sio adhabu hii sadaka ya kukubali makosa yako ili upate
kiapo kutoka kwetu’’
Nililia sana bila kufanikiwa niligeuka upande wangu wa kushoto na
kuangaliana na lile jiwe huku nikiwa nimekaa juu ya kibuyu niliweka
kidole cha mwisho katika mkono wagu wa kushoto sikuwa na ujasiri wa
kukata kidole changu nilikaa ndani yadakika kama tatu hivi ghafla
lilishuka jiwe nzito na kukanyaga mkono wangu mililia kama mototo mdogo
kwa maumivu niliyoyasikia pale nilihisi kifo kinanifata maishani
mwangu,
Tunashukuru kwa kukubali agano letu
lile jiwe lilipote katika mkono
wagu nililia baada ya kuona vidole vyangu viwili vikiwa imekatika na
kusagwa na lile jiwe nla. maajabu,
nililia huku nikilalamika
‘’Mbona mmenikata viwili wakati tumekubaliana kimoja’’
‘’Hii ni adhabu moja wapo ya jeuri yako ka kutokata kidole kwa wakati’’
‘’Sasa kwanini mnanitesa hivi mimi ‘’
‘’Hatukutesi ila unajitesa menyewe kwa kiburi na dharau zako’’ ;ni
maneno yalitoka kwa huyo niliokua naongea nae nisiewezamwona kwa mcho ila
ni sauti ilikuwa ikinielekeza
‘’Sasa toka juu ya hilo agano na nenda kakae kwenye ile mishumaa pale ‘’
Niliondoka na kwenda kuketi katikati ya mishumaa ili kupokea aina
yasadaka nitakayoitoa kwao
‘’Vizuri sana kwa kukubaliana na agano letu na upo tayali kutoa
sadaka tutakayohitaji kwako?’’
‘’Ndio nipo tayali.’’;ilinijibu kama ni mtu niliekata tamaa ya maisha
‘’Safi sana wewe kiti tunahitaji saadaka ya damu kutoka kwako upo tayali’
‘’Ndio nipo tayali.’’;
"safi sana kijana kwa kukubali hitaji letu
tunataka sadaka ya damu ya mjomba ako…….
na @King Author
WhatsApp 0629980412