Type Here to Get Search Results !

CHOMBEZO: MY SON 11-20 MWISHO SEASON 1

 


(11-20)
MY SON
🍆🔞
Sehemu ya 11
Mwandishi:lissa mwalla

Ilikua ni kelele ya kimahaba Waliokua jirani wakastuka ikabidi god azuge aseme oya unamkanyaga mwenzio simama vizuri,afu akasema jamani mbona tunasafiri kimya kimya tuimbe bana,akasema manka anzisha wimbo,manka akaanzisha hapo ndipo nilipochezewa zaidi na kupigwa denda la haja nililegea kama mlenda hamu imenipanda hatari natamani god asiache kunishika,hapo nilivomkalia nahisi nimekatia kiti kigumu hatari,god alinishika sana kiasi kwamba nikawa sijiwezi kabisa rafikia kae pembeni akamwambia oyaa maze inatosha aisee mnanitesa kinoma,god akaniacha lakini akaniambia luna tukishuka naomba twende wote nyumbn kwangu usiende kwenu sawa,sikuweza hata kujibu nikakaa kimya,tulisafiri hatimae tukafika salama,goda akasema kwa io inakuaje sasa nikasema nyumbn watapata mawaz,akasema watajua tumelala hukohuko pliz si unaona niko vibaya acha basi kunitesa mpzni wangu,niakasema powa ila sitaki manka ajue,hivo god akamwita rafiki ake misheck akamwambia msindikize manka kwao mimi namsindikiza luna nina maongezi nae na vile misheck alikua anampenda manka akafurahi wakaanza safari kisha mimi na god tukaenda hadi kwake,god alikua na chumba kimoja tu na kabati la kitambaa la nguo na begi tu na ndoo mbili basi,akasema karibu geto mrembo wangu,nikasema asente,niliandaliwa maji ya kuoga tukaenda kuoga wote mie aibu lakini niliyataka kisha tukarudi kitandani sasa,niliandaliwa vizuri sana na god kisha nikatolewa usichana wangu huku akishangaa kuwa kumbe sijawahi guswa,nikasema ndio basi akafurahia sana god,nililala pale mpaka asubuhi tena mida ya saa tano ivi ndio nikarudi nyumbn,mama na baba hawakujua kama tulirudi wala siku mikapita na hapo ndio mahusiano yangu na godi yalianza rasmi.siku moja nilikua kwa god hapo tayari tushazoeana vizuri nikaona nimuulize kuhusu mwanamke aliezaa nae,god ahakubisha akasema ni kweli ila mwanake tuliachana mimi kwa sasa natunza tu mtoto ndio mana nimekupa funguo uje unavojiskia hapa na wale majamaa wa kwenye kwaya wanaokutaka nawamind sana hawajui tu,nikasema bby nakupenda wewe bana achana na hao.basi mahusiano yetu yalinoga wivu wa god ukasababisha kwaya nzima wajue mimi na god tunadate maana alikua anawachimba mkwara waimba kwaya wa kiume wanaokuwa karibu na mimi lakini sikujali niliona raha tu,niliendela kufundisha watoto wangu huku nikiimba kwaya huku nikitoka na god,god alikua na kiduka chake cha matumizi ya ndani na mpesa pia alikua fundi mabomba mzuri tu,hakua na pesa kiivo lakini alikua anajitahidi kunihonga honga pesa ya kula kusukia na kununulia pedi nilikufa na kuoza kwa bby wangu.siku moja ilikua jmosi nilikua kanisani asubuhi na watoto tunaimba na kucheza mara ikaja gari Fulani kanisani gari ilisimama kwa muda bila mtu kushuka sie tukawa tunaendelea kuimba na kucheza mimi nikiwa mbele nawaelekeza watoto kucheza mara wakashuka wababa wawili wakaja hadi pale tunapocheza,si unajua watoto tena wakaacha kucheza wanawashangaa wale wababa,walionekana wanapesa tu nzuri basi mimi nikawasalimi akisha nikawaambia watoto pia wasalimie,nao wakasalimia wale wababa wakaitikia,mbaba mmoja akaniuliza unaitwa nani?nikasema naitwa luna,akasema luna nani?nikasema luna temu akasema okaya mnacheza vizuei sana tumependa nikasema asante,wakasema padre yupo?nikasema atakuepo ofisini kwake au nyumbani kwake,mbaba mwingine akasema tupeleke basi ofisini bikasema sawa,basi nikawapeleka bahati nzuri padre alikuepo ofisini mimi nikamsalimia kisha nikasema nimeleta wageni wako fadher,akasema asante luna,wale wababa wakaingia mie nikarudi mazoezini na 


Ep 12,13,14&15

wanangu,baada ya muda wakaja wale wababa na padre nilipo na watoto wakanipa elfu 20 wakasema niwanunulie watoto juisi watoto wakafurahi sana hao wakapanda gari yao na kuondoka,padre akaja huku anatabasamu akasema luna una bahati sana unajua wale ni kina nani?nikasema sijui,akasema wale ni wafadhili wetu walikuja kuleta chek ya pesa ya kujenga kigango hao ni wachimbaji wanaishi arusha,nikasema haa sawa akasema haya endeleeni na mazoezi mie niakendelea huku nikiwa sielewi padre kwa nini kasema nina bahati tena aah nikayaacha.siku moja god akaniambia luna tushakuwa pamoja miezi sita sasa nakupenda sana najua na wewe unanipenda nadhani ngoja nitafute mahari nije kwa mzee temu nikuoe tu,nikasema unasema kweli mpnzi wangu?akasema ndio niko serious au hutaki?nikasema naachaje kutaka sasa nawakati nakupenda,tukacheka sana akasema najua mzee wako anapenda sana pesa ivo lazima nitafute pesa haswaa,nikacheka sana,ile ilikua ni habari njema sana kwangu,nilivotoka kwa bby nikarudi nyumbn nikamkuta jikoni maana jiko letu lipo nje,nikamwambia mama ivi kama mtu anataka kunioa baba atakubali kwli sa ivi?kabla mama hajaji hajajibu aliingia baba akasema umepata mchumba au?nikasema hapana nimeuliza tu,baba akasema wewe mchumba wa kukuoa nitakutaftia mimi mwnye pesa nyingi ili na mimi babako niache kunyw mbege nianze kunywa bia kila siku,nikasema baba enzi za kuchaguliana wachumba zilipita,akasema uwe na adabu mimi ni baba yako mpumbavu wewe unabishana na mimi ebu toka kanifatie mbege kwa mama lyimo,nikachukua kijagi niakpewa pesa nikaondoka huku nikiwa na mawazo sana kichwani,ina maana baba hatoruhusu kabisa niolewe na mpnzi wangu god jamani niliumia lakini nikasema nitalazimsha tu,nilikaa mwezi mzima huku nikiwa na mapenzi moto moto na god wangu,siku moja ilikua jtano mama alinituma kumfatia simu yake kwa fundi nikaenda nikakuta imeshatengenezwa sasa kwa kua god wangu nae anaishi hukohuko senta nikapitia anikapewa kimoja cha haja mara simu ya mama ikaanz kuita hapo tushamaliza kupeana nipo kuvaa kuchek ni baba anapiga nikapokea akasema rudi nyumbn haraka sana kuna wageni,mmh nikajiuliza wageni gani jamn tena?nikaona ngoja nikajionee nikatoka mbio mbio hadi nyumbn nikakuta gari imepaki nje,nikaingia nikakuta wababa wawili sikuwajua lakini wamevaa vizuri inaonesha ni matajiri.nikasalimia nikawa napita niende chumbani,baba akasema kaa hapo hawa wageni wako hawa.heee nilistuka mbona siwajui,baba akasema haw awageni wametoka arusha wamekuja kwa ajili ya posa yako,nikastuka posa?mbona siwajui hawa watu?baba akasema kwa kuwa posa imetoka kwa mmoja wa wafadhili wa kanisa letu mimi namjua nimekubali hivo jiandae kuanzia leo hutoki ndani huku jumamosi wanakuja kutoa mahari unaondoka nae mmeo,kiruuuuuu baba mbona sielewi?akaniambia nenda chumbani kwako.mie huyo nikaenda pamoja na yote mzee temu kwenye kipigo yuko vizuri,basi niliingia chumbn kama naota nilichoskia,wafadhili gn wanaongelewa hapa?nikakumbuka wale 


Ep 16,17&18

wababa wawili waliokujaga kanisani nikasema uwii wale mbona kama baba zangu sasa naolewaje nao?wageno walivoondoka nikarudi sebleni nikasema baba mimi siwezi kuolewa na wababa mimi,baba akasema nitakupiga wewe nitakuua sitaki kuskia kelele,nimetaja mahaki kubwa sana nikipewa nabadilisha nyimba hii na nitakunywa sana bia afu unaongea nini mpumbavu wewe,mama luna sitaki huyu atoe mguu kwenda popote maana niliskia kuna kivulana kinamdanganya danganya usifkiri nimekaa kimya sijui.nilikosa pozi.baba alicha hata kwenda kilabuni akawa anaagiza bia nyumbani anakunywa ananilinda mimi ni kulia tu chumbn nikimuwaza god wangu maana hata manka alikua haruhusiwi kuniona nililindwa hadi jumamosi walivokuja ndio nikamuona Yule mbaba sasa aliekua haongei sana kaja bana kumbe ndio mume wangu,walikaribishwa mahari ikalipwa yote na walikuja na mivitu kibao jioni nikakabidhiwa mbaba alieitwa mr mjuni muhaya wa bukoba huyo.siktaka kabisa mbaba mnene na kitambi tena mtu mzima sana niliumia mno lakini sikuwa na jinsi,baba alisema ole wako uachike kakae utulie huko ukirudi mimi sina mahari ya kurudisha nitakuua.mama aliungana mkono na baba basi nikaaga na kuondoka.safari ilianza hadi arusha tulifika usiku tukafikia kwenye mjumba mzuri nikishngaaa ivi zile nyumba za kwenye muvi ni kweli kumbe jamani.mjuni akasema karibu mke wangu hapa ni kwako ila kwako zaidi kimaisha ni dar maana ndiko nakukua mara nyingi,nikasema sawa asante,akasema una njaa?nikasema hapana bado nimeshiba nae akasema ivo ivo ivyo tukaingia kulala sasa,uwiiii jamani jamani wanaume wametofautiana sana kumbe jamani……..itaendelea

MY SON

Sehemu ya 19&20

Nilichanganyikiwa maana mjuni alitaka kabisa nimpe utamu Lakini kilichonishangaza ni maumbile yake kuwa madogo sana na vile sikumpenda kabisa huyu mzee nilijionea shida sana, nikapiga akili ya fasta nikajifanya kichwa kinanigonga sana na nimechoka sana, mjuni akanibembeleza akanipa dawa ya maumivu nikanywa kisha akanikumbatia tayari kwa kulala, akili yangu yote nilikua inamuwaza god wangu maskini mwanaume niliempenda sana mwanaume wangu wa kwanza , sikujua atakua ananiwazia nini mimi? Sikujua atakua na hali gani kipenzi changu god alitaka kunioa lakini kanyang'anywa tonge mdomoni na Mr mjuni kisa pesa😪niliwaza kwa muda mrefu sana wakati Mr mjuni alikua kalala fofo anakoroma zake huku akiwa uchi wa mnyama kalala kama kiboko anaota jua.

baada ya muda mrefu wa mawazo nikapitiwa na usingizi. nikaja amshwa kesho yake mapema na Mr mjuni, akaniuliza unaendeleaje? Nikasema nina nafu akasema sawa amka basi tukimbie kidogo mke wangu tufanye mazoezi. Mmmh😳😳mazoezi tena? akasema. Ndio mimi kila siku nafanya mazoezi asubuhi na kula Chakula bora kwa afya, mmh afya gani amenenepa hivi? Nikatabasamu tu. Akasema jiandae basi twende nitajiskia raha sana kukimbia na mke wangu mpya,nikasema mimi sina nguo za mazoezi naomba nianze kesho.akasema ooh afu kweli basi sawa ngoja nikimbie nikirudi badae utaenda kutafuta nguo sawa mke wangu, nikasema sawa. Kiukweli Sikumpenda kabisa mjuni mimi jamani, akaondoka zake nikaamka nikaoga kisha nikaenda sebleni nikakuta kuna mdada mmoja na mkaka mmoja, wakanisalimia nikajibu, wakasema chai tayari mezani nikasema sawa niligundua ni wafanya kazi,nikauliza mjuni anachelewaga kurudi? Wakasema hapana bosi atarudi sasa ivi, nikasema powa basi ngoja nimsubiri arudi, nikakaa sebleni naangalia zangu tv.Baada ya muda Mr mjuni alirudi akaniambia nikamuogeshe, uwiii yamekua hayo jamani kuogeshana tena jmn khaa. sikuwa na namna nikaenda kumuogesha na mie ikabidi nioge tukiwa bafuni akataka haki yake uwii ,jana nilimnyima leo nitasingizia nini? Nikafumba macho nikajitahidi kumpa .nikampa lakini uzuri hachewi kufika, akamaliza safari yake mapema tukaoga tukaingia kuvaa. Mimi mavazi yangu nguo za kitenge na za mitumba nikachukua gauni langu la kitenge nikavaa hao tukatoka hadi kunywa chai japo mjuni alikua matunda tu kisha mjini. Nilipitishwa madukani nikanunuliwa vivazi japo kiukweli sikuwa na shepu mchaga mimi, tako ninalo la kukalia tu ziwa ndio kidogo lipo nalo japo sio sana nilichoambulia ni weupe tu na sura kidogo nilikua nasifiwa japo mimi sijui 😜.

Mr mjuni alinichagulia suruali magauni mafupi eti alitaka mguu wangu uwe unaonekana haya bana nikakubali japo nilitaka mapana kuficha flat screen yangu😜. Baada ya kutoka pale tukarudi nyumbn kupumzika mzee hakunigusa tena.jioni nikapiga kigauni changu kipana fln lkn kifupi tukatoka na mjuni hadi maeneo ya starehe, nilipelekwa mziki kuangalia live band .tulikuta rafiki zake ,tulivoingia wale waimba band walimrusha mjuni wee alionekana kujulikana pale na wazee wa ngwasuma kisha akaenda kuwatunza hela akiwa na mimi kanishika mkono. Pesa ziliniuma sana jmn mchaga mimi uwiii, baada ya pale tukarudi kukaa kwa rafiki zake na kuendelea kunywa . Mie sikuwahi kunywa pombe ivo nikawa zangu na juice tu wao wanakunywa mipombe mikali ya gharama, nikiwa nimetulia zangu naangalia band alikuja dada mmoja amevaa kikaptula kifupi na kitopu kitov wazi afu mweupee mwembamba anakishepu 😭moja kwa moja akaanza mwambia kitu mjuni sikioni. Mjuni akamskikiza kisha akamshika kiuno akamjibu mimi nawaangalia tu yule dada akaondoka. Sikuskia wameongea nini. Baada ya muda mjuni akaita mhudumu akamwambia kitu sikioni kisha yule mhudumu akaondoka sikuskia ni nini na hakurudi kwetu hadi muda analeta bil na alikua ni mhudumu tofaut na anaetuhudumia sisi, nikaona nikakaa kimya, mjuni alilipa zile bili kisha akatoka alichelewa sana kurudi wakati huo rafiki zake wananipigisha story sana pale, roho yangu haikunipa sikuelewa yanayoendelea kabisa nikaaga hata kama mimi mshamba lkn naelewa bas nikawambia naenda toilet lkn sikuenda nikatoka nikaenda upande alioenda Mr mjuni, sikumuona nikaona acha niende kwenye gari wakati nakaribia kwenye gari nikakutana na wadada wawili wametokea usawa wa gari ya mjuni mmoja wapo ndio yule Mdada ambae alikuja mezani na mwingine mwembamba pia mweupe kavaa kigauni kifupi wao hawakuniona wakawa wanasema unaona sasa tushaingiza siku yn yule Mzee anapenda madem na hana shuguli kubwa si unaona Ukimshika shika na kumlamba lamba tyr walet inafunguka wakachekaa na kugonga mara wakaniona yule dada alienikuta mezani akamwambia kitu mwenzie afu wakacheka kimbea wakakimbia huku wanacheka na ni wazi walinicheka mimi. Mmmh nikaenda hadi Kwenye gari nikamkuta MR mjuni amekaa siti ya nyuma amejiegamiza kwenye siti mkanda haujafungwa anaonesha kuchoka mmmhhhh🛎🛎nikamuita nikasema Mr mjuni, alistuka akasema mke wangu unafanya nini hapa? Nikasema nilikua kupumzika kwenye gari, akasema hapana ulikuja nifatilia skia luna sipendi mwanamke mswahili anaenifata fata mimi kama mkia wa mbuzi, nikitoka unatakiwa unisubiri huko huko hadi nirudi sawa? Aliongea huku amekasirika, nikasema sawa. Akasema ukitaka nikupende nikujali acha kunifatilia na kuuliza uliza maswali kama wanawake kwenye midomo. Ukiwa unanifatilia utaona dunia chungu sawa? Naomba urudi haraka kule ndani usinitie aibu. Khaa sikuamin kabisa kama Mjuni yupo Ivo na nilipata uhakika kabisa wale wadada wametoka kwake lkn nikajiwazia sasa kati ya wale yupi ndio mpenzi wake? MMMH Hii ndoa hii acha tu.

Nilirudi tulipokaa kisha nae akaja tuliendelea na kuangalia bnd hadi muda wa kurudi nyumbn sikuuliza chochote.

MWISHO S01,,,, USISAHAU S2 IPO KWA OFA 999/- TU

FULL OFA TSH 999/- TU

ONDOA STRESS KWA KUSOMA STORIES TAAAAM TOKA KWA MIKA AUTHOR
UNATUMIWA STORY NDANI YA DK 10 TU!!!
OFA CHAGUA STORY 3 KWA TSH 1999/- TU
AU 5 KWA TSH 3400 TU!!!

💰💰MALIPO: HALOPESA 0629980412 JINA PETER
☎️WHATPP: +255 629 984 012

NB: Namba ya malipo na whatpp ni tofauti, so kuwa makini hapo. Pia, ukilipia nitext whatpp kwa namba ya whatpp hapo, usipige simu......

🥰🙏.......................

OFA YA FEBRUARY ! 
HII LIST INA STORY MPYA 120+
KWA WATAKAO WAHI TU LEO😋📚🔥👇
CHAGUA STORY 3 HAPA KWA TSH 1999 TU MWANZO MWISHO!!!!!👇

1.Special One For Me
2.One Night Stend
3.Kahaba Mlokole by Liss Mwalla
4.Nimefollo in Love
5.Mimi
6.The One by Hamida
7.Mkataba wa Ndoa
8.The Boy na Kijakazi
9.Thank You Dating Site
10.Chumba cha Masaji

11.My Bro Hugs
12.He is the one i love
13.Doctor Love by Hamida
14.Facebook by Lissa Mwalla
15.Cinderella by Lissa Mwalla
16.We Huogopi?
17.Madiing in Love
18.Bikra Changudoa
19.The boss Kids
20.American Love

21.Wa Rohoni
22.Debo
23.Queen of My Heart
24.mke wa dunia
25.husna(ndoto iliyotumia)
26.penzi la customer care
27.Amina(cha ukorofi)
28.ujana wangu
29.rich man love
30.its you shannah..

Mpya
31. Bi Harusi
32.Ololufe Mi
33.Ya Qalbi
35.Sweet Maid
36.Housegirl Bibi
37.Daniella
38.Bora Nisingezaliwa
39.Acha Nikupende
40.Fundi Cherehani by Lissa Mwalla
41.Madam wa Tuition
42. Mr Money(My Husband Ryan)
43.Saria (hause girl aliebeba mimba ya boss )
44.Ceo's Secretary
45.Nimeolewa na Nan?

46.Nilivyoanza kuingiliwa kinym na maunbile
47.Nadia
48.Manka
49.Sisha
50.Mr CEO
51.Nakukunda Jermain
52.tinder by lissa mwalla
53.penzi la lastborn
54.Iconic Love
55.mke kutoka kijijini
56.johari (wewe ni ubavu wangu)
57.Sasha Fierce by Lissa mwalla
58.Maiti Iliyogoma Kupumzika kwa amani....cosmas
59.daysha by lissa mwalla
60.drive me to love bby

61.Penzi la Nesi
62.chombezo la housegirl(dada wa kazi)
63.Ndoa ya Bilionea
64.Ila kaka jaman
65.Shadia: Pumzika kwa amani mume wangu
66.Enock Njoo uchukue hii laana yako, sisi haituhusu
67.Koku: Nitakuja kupunzika mbinguni
68.haka kasauti dah
69.Angel, natamani uvae viatu vyangu
70.Jibaba la Kizungu

71.Anastazia (am just a maid)
72.binti ninah
73.labda sio mimi
74.Siku mbili kabla ya harusi
75.The best Couple of the Year

Mpya za 2025

76.Moriano(Columbian Love)
77.Boss Lady
78.ndoa ha mashuka
79.Mapenzi(lizzy)
80.Rehema(Unastahili upendo)
81.My Lovely Kichaa

81.Bria na Mr Right
82.Alivyonitoa kwenye Usagaji
83.Dear X
84.Rafiki yangu Monalisa
85.Aaah Kaka
86.Penzi la Boss
87.Bikra Tata
88.Laana ya Mama
89.Mwanaume na Nusu

90.Valentine by Lissa Mwalla
91.Aron Zuzu wangu
92.Adellina
93.My Mr Right
94.Pastor's Son
95.Chichi by Hamida
96.Penzi la Kaka
97.My Perfect Husband
98.Love At First Sight
99.Utajiri wa Mateso
100.I will never lose you (arriana)

101.Larah(Sipaswi Kulaumiwa)
102.Summer(Tulizo la Moyo)
103.Zena(In Love with my Boss)
104.Femi(Playboy)
105.Love Distance
106.Desmond(Lini Utanipenda?)
107.Melvin My Baby Dady
108.Jamani Binamu Weka Basi

109.Tessy(Hivi tumewahi kuwa wapenzi)
110.Penzi la boss na mke wangu
111.Nitakuonga Figo nikupe na moyo
112.Shemeji Alivyonigeuza kuwa Mke Wake
113.Mchafu lakini Mtaam Aaaaah
114.Yule Boy

115.Roxana ( ni wewe tu )
116.I have Chosen You
117.Usiku wa Honeymoon
118.Kijakazi Amarah
119.Ubaya Ubwela

120.Nilimdanganya mke wangu nimefukuzwa kazi kumbe nina likizo ya miezi 3.
121.sitokusamehe,suzy
122.Beautiful Onyinye
123.Kaka una Mboo Tamu
124.Show ya Side Mboo Ndefu

125.Sitasahau Mke wangu alivyokufa gest siku ya harusi yetu
126.Mke wangu alimtesa mama yangu akijua ni mfanyakazi wa ndani
127.Mume wangu analipa kodi kwenye nyumba yetu
128.Nilipokwenda kuroga niligeuka panya
129.Mama mkwe Aaash nataka kukojoa we mtamu Jaman
130.Boss Wangu(Mpenzi wangu wa siri )
131.Mr Ceo na Mimba yangu
132.Since we meet
133.Cute Irene
134.House gal by Lissa Mwalla
135.My Son by Lissa Mwalla

VUNJABEI OFA, STORY 3 LEO KWA TSH 1999/- ty TU ( MANENO KIDOGO STORIES NYINGIIIIIII)🤪

👉Malipo HALOPESA 0629980412 JINA PETER
☎️WhatsApp ‪+255 629 980 412

NB: Namba ya malipo na WhatsApp ni tofauti, so kuwa makini hapo, pia ukilipia nitext WhatsApp kwa namba ya WhatsApp hapo, usipige simu.🙏.............

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad

Hollywood Movies