Type Here to Get Search Results !

CHOMBEZO: KATERERO 🔞SEHEMU YA.17 (MWISHO)



🔞KATERERO 🔞

Sehemu ya kumi na saba.17

Ilipoishia....

Ilimbidi mama huyo,ampeleke kikanga Sam ajifunike wakati anatoka.Ila Sam alihakikisha inakuwa kazi kukichukua ili Mmama huyo aingie bafuni.Na hatimaye Mama huyo aliingia bafuni kwa bahati mbaya na kuitazama  vyema Dushe ya Sam na kujikuta anapigwa na butwaa ndipo Sam akaanza kupapasa makalio ya mama huyo.Huku mama huyo akiwa amevaa ukanga tu kwani naye alikuwa akisubiri Sam atoke bafuni ndipo aingie hivyo hata ndani alikuwa hajavaa kitu.

Endelea nayo....

Sam alivuta ukanga wa Mmama huyo,kisha akaanza kulipapasa tako lake,huku akishika tako moja na kuliachia kwa nguvu jambo liliofanya tako la mama huyo kutetema kama limepigwa shoti.

Alikuwa akifanya yote hayo,huku kinywa chake kikiwa eneo la sikio la mama huyo,kwa kutumia ulimi wake,aliweza kulamba lamba pina la mama huyo.

Alikuwa akihakikisha,kwa kutumia ulimi wake,anaingiza hadi ndani ya sikio na kumfanya mama huyo kuwa na msisimko usio wa kawaida.

Sam aliendelea kumpapasa bila kuchoka.

Na hatimaye,Sam akaanza kuingiza kidole chake kati kati ya Mstari wa tako la mama huyo huku akianza kupapasa juu ya mstari mpaka chini ya mstari.

Kwenye mkund* alikuwa akihakikisha anasuguapo kwa nje,jambo liliopelekea kuongeza msisimko kwa mama huyo.Huku Mama huyo akiwa ametulia tuli bila ya kufanya chochote,

Sam alihakikisha,anamfanyia utalii ambao ungemfanya mama huyo aishiwe nguvu na kuomba atiwe.

Pole pole.Sam alianza kuingiza kidole cha pete cha mkono wa kulia  kati kati ya papuchi ya mama huyo,kwa ukubwa wa papuchi ya mama huyo.Kidogo ulishtua Sam.Na kumfanya aamini hakuna papuchi kubwa zaidi ya hiyo.Hata kama hajawahi kutana na zaidi ya hiyo.Ila mpaka kufikia hapo.Aliapa yakuwa mama huyo kama ni papuchi anayo.

Tofauti na kuwa ilikuwa kubwa lakini bado.

Ilikuwa nene na kwa muda huo ilikuwa imesimama ndi.

Na kuvimba kabisa.Huku ikionekana dhahiri imekaza.

Kwa hatua za pole pole Sam alikuwa akipitisha kidole kwanzia juu ya papuchi mpaka chini kwa ustadi kwa hali ya juu,huku kila alipokuwa akifanya hivyo mama huyo alikuwa akihema kwa kasi.

Sam hakuweza kumbemba mama huyo,kama alivyowabeba wengine,maana kwa jinsi alivyo ni kama mtu na mama yake,hata kiumbo Sam alikuwa mdogo hivyo Sam alimvuta mkono mama huyo na kumpeleka Chumbani.Huku wote wakiwa uchi.

Hakika minyama nyama ya matako ya Mama huyo,iliendelea kumdatisha Sam.

Na alitaka amuandae mama huyo kitofauti sana na kimahaba zaidi,alimlaza chali kwenye kitanda chake,hapa ni baada ya kuelekezwa chumba kilipo.Hivyo aliingia naye.

Alivyomlaza Chali.Alianza kunyonya papuchi huku akihakikisha hata kidevu kinatumika kusugua papuchi.

Jambo liliofanya mama huyo alie kila muda.

"Maaaa weeeeee Maaaa weeeee."

Utamu ulizidi mahaba nayo yalizidi,kidevu kiliendelea kusugua papuchi.Na kufanya raha iongezeke maradufu.

Huyo,mama alikuwa tofauti na wa mama wengine wote haya ni maono ya Sam,kwani tofauti na kuwa alikuwa na papuchi kubwa.Lakini bado hata kumwaga alimwaga wazungu wakutosha.Na hawakukata.Kila ambapo Sam aliendelea kusugua kwa kutumia kidevu ndipo Wazungu walipoendelea kumtoka mama huyo.

Sam alianza kutumia dushe lake,kusugua papuchi ya mama huyo,kwakuwa mama huyo alikuwa ameshamwaga bao zisizokuwa na idadi hivyo ilifanya dushe ya Sam itereze tu na kumpa raha ya Ajabu.

"Ooooooooooh Yes."

Kwa mara ya kwanza Sam alihiisi raha ambayo kamwe.! Hakuwahi kuhisi.

Hakika aliamua kuingiza dushe.

Japo alikutana na bahari ya india,lakini alijikubali kiume,kwani kitu kama hicho alikijua tu,papuchi kubwa kama hiyo,lazima hata ndani kungekuwa na bahari.

Japo Sam aliogerea lakini miguno ya kulalamika kutoka kwa mama huyo aliisikia vyema.

Mwisho wa siku Kila mtu alimwaga bao zake.Japo bao za Mama huyo zilikuwa hazina idadi.Lakini aliapa kwa kusema hajawahi kukutana na Mwanaume kama Sam maishani mwake.

Ilimbidi Sam aende kuoga,kisha akatoka na mama huyo,akaenda kuoga.

Mama huyo alimuandalia chakula Sam,huku kwa mara ya kwanza alionyesha tabasamu lake,tangu Sam amuone siku hiyo.Hakumuona mama huyo anatabasamu kama muda huo alivyokuwa akitabasamu.

"Mwanangu,ahsante sana maana tangia nifiwe na mume wangu na watoto wangu wawili wote mapacha,wakike na wakiume,miezi mitatu imepita sasa kwa ajali ya gari.Sikuwa natabasamu kama leo hii.Hakika umenifurahisha sana mwanangu.Japo kidogo nimepata robo ya furaha yangu.Sina cha kukulipa.Ila sina budi kusema ahsante sana sana." Mama huyo,alizungumza huku akitokwa na machozi ya furaha.

Sam aliitikia kwa kichwa,pia alimuonea huruma mama huyo.

Japo muda ulikuwa umeenda,ila Sam aliomba kuondoka.Japo mama huyo aliomba Sana Sam alale.Ila Sam alikataa na aliondoka zake.Kwa kulazimisha hapo ni baada ya kumaliza kula.

Ilikuwa saa sita usiku,Sam alitembea mwendo wa pole pole kuelekea anapoishi.Kumbe! Wakati ambao anaingia kwa mama huyo mpaka anatoka.Kahaba alikuwa akimfuatilia.

Huku kama kawaida akiwa na bastola yake,alimtegea Sam kwa mbele kisha akasimama mbele yake.

Sam alishtuka sana kumuona mdada huyo mbele yake,mwanzoni alihisi ni jini sababu alimuona ghafla tu.
Ila alianza kutambua si jini hasa ambayovyo,mwanadada huyo alivyokuwa na hasira kupita kiasi.

"Nilikwambia Sam lazima unioe,halafu ukaninitoroka baada ya kujua nimekupenda.Nilikuhaidi Sam niko tayari kuondoa huai wako nikijua umelala na mwanamke mwingine."Mdada huyo,hakutaka kushangaa ilikuwaje Sam alijondoa na dawa aliokuwa amemfunga.Lakini hakujali..Maana alijua nilazima Sam angepata dawa Tu.

Kwakuwa Sam alikuwa tayari yupo mbali na Nyumba ya mama yule hivyo hata msaada hakupata.

Mwanadada huyo kahaba alianza kulia kwa uchungu huku akiwa ameshikiria bastola.Hakutaka kumuua Sam kwani bado alikuwa anampenda.Ila kosa la mwaka aliofanya Sam ni kukimbia na kumfanya Mdada huyo bila kutarajia akampiga risasi Sam.Alivyooona Sam amedondoka chini.Alijipiga na yeye risasi ya kichwa na kupoteza maisha papo hapo.

Mlio wa risasi ulifanya  baadhi ya majirani kupiga simu polisi yakuwa kuna tukio la kijambazi mtaani kwao.

Bila kuchukua muda jeshi la polisi lilifika kwa muda muafaka.

Huku wakiwa wamejizatiti kwa silaha za kutosha.Na walijipa tahadhari ya hali ya juu,baada ya kufika eneo husika walipo Sam na Mwanadada kabaha.

Waliongeza ulinzi eneo hilo,kila polisi akachukua nafasi na kujificha kwa kuhisi aliowaua bado yupo eneo hilo.

Lakini mkuu wa kikosi hicho,aligundua  mmuaji mwenyewe ni moja kati ya wawili hao kwani aliiona bastola kati kati yao.

Walisogea karibu kisha wakabeba miili ya wote hao na kuwawaisha hospitalini.

Wote walipelekwa kwenye chumba cha ICU.

Japo kwa mwanadada huyo iligundulika.

Tayari ameshakufa mapema.!

Ila Sam maisha yake yalikuwa hatarini.

Madaktari walifanya kila wanaloweza ili kuokoa maisha ya Sam lakini bado hakuwa na hali nzuri.

Baada ya wiki mbili kupita.

****

Tayari mwanadada kahaba alikuwa ameshazikwa na Serikali huku ndugu zake wakiwa hawafahamiki.

Kwa upande wa Sam bado hali yake haikuwa nzuri.Mariam alienda kumuona huku kila muda akiwa analia.Aliruhusiwa na madaktari.Hii ilifanya Sam agundue baada ya kahaba ye ndio aliokuwa akimpenda.Ashura na dada yake walikuwa wakimtamani Tu.

Sam alizungumza kwa shida kwani risasi ilimpata kwenye uti wa mgongo na uparesheni ilifanyika wakashindwa kuitoa kwa kusema wakiitoa Sam atafuka au hataweza kutembea milele.

"Mariam nashukuru nakufa huku nikijua mtu fulani ananipenda.!"

Sam alianza kumueleza kila kitu Mariam mpaka kufikia hatua hiyo,hata vitu ambavyo Mariam havifahamu.

Mariam alilia sana na alishindwa kujizuia.Alitoka nje ili huzuni yake hisimuongezee  maumivu Sam.
Waandishi wa habari walikuja kuchukua Maelezo kwa Sam.

Madaktari walikataa yakuwa Sam hayuko kwenye hali nzuri.

Wakati wanataka kuondoka,Sam alivyosikia Waandishi wa habari wamekuja hasa wa magazeti,aliomba mwandishi mmoja wa gazeti.Aliruhusiwa mwandishi wa Gazeti la Uhuru.

Kisha akampa kisa chake chote,huku mwisho akiitaja.

"KATERERO,KATERERO,KATERERO.NDIO SABABU YA HAYA YOTE."

Sam aliitamka katerero huku akiwa ana kata roho,mwandishi huyo alijitahidi kuita madaktari ila ndio mwisho wa Sam.Sam alipoteza maisha.Papo hapo

Mariam alivyopewa taarifa alilia sana.
Alizimia mara kadhaa,na pindi alivyokuwa akiamka,pia aliendelea kulia ndipo ilipofikia hatua akaondolewa hospitalini baada ya dada yake kuja kumfuata.

Dada yake Mariam pamoja na Ashura.Walihuzunika tu ila alioumia kupita kiasi.Ni Mariam.

Ndugu zake Sam kutoka kigoma,walikuja kumchukua Sam kutoka Dar es salaam na kwenda kumzika kigoma,Kasuru.

Inalilah wainalilah rajoon.!
Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
Sam hatuko naye tena.

Mwisho.!!!
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duuuu nipe namba ya mariam nimlindie sam

    ReplyDelete
  2. Mmmh Sam jamani ataenda kujibu nn mbinguni maana kafanya zinaa mpaka shetani kajificha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad

Hollywood Movies