( 17——-22 ) MWISHO
🔞KIFO CHA MENDE 🔞
na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu
SEHEMU YA 17
Husna amevalia nguo zake huku chupi ikionekana. Husna akashtuka gafla na kumuuliza mlinzi, "Wewe mlinzi vipi unataka nini.?" Mlinzi akamjibu Husna kwa kujiuma uma mdomo. "Daah... Yani yani nashindwa kuelewa nasikia watu kama walikuwa wanavutana tu".
Husna, akamwambia Mlinzi kwa maneno ya kejeli. "Wewe mwanaume mzima unafuata umbea tu kipi usichokijua". Mlinzi geti hakuvumilia akaamua kuondoka zake mpaka nje, kufika akakutana na Mo Jay akiwa anajifuta futa vumbi.
Mlinzi geti... "Wewe kijana duuh hatari sana yani nimekuona kwa macho yangu mawili". Mo Jay hakutetemeka akamuuliza "Kwani nini tatizo mlinzi?"
Mlinzi, akamwambia "Kijana unafanya vitu vya ajabu wewe katika hii nyumba sio!"
Mo jay, alipoona unga umezidi maji. Akamwambia kwa onyo "Sikiliza bro, fuata kile kilichokuleta kwa kazi yako ya ulinzi. Na mimi nifuate yangu ya kuendesha gari tu hapa".
Inasemekana kwamba, Mo Jay aliposikia mchakacho wa nyayo za mtu akavalia nguo zake kwa haraka Na kutoka na dirishani huku akimuacha Husna ndani ya chumba hicho akivaa nguo Zake.
Wakati malumbano yakizidi Husna akatoka nje moja kwa moja mpaka kwa Mlinzi, kisha kuanza kumtetea Mo Jay roho yake, utamu wake. "Wewe mlinzi mbona hutulizi mdomo wako". Kabla hajamaliza honi ya gari ikasikika nje ya geti.
Mlinzi geti, akashughulika na kazi yake ya kufungua geti. Alikuwa ni Halima ndiye anaingia kutoka kazini, alipakia gari lake pembeni kisha akashuka kutoka garini.
Na kuhisi mume wake yupo ndani, akavua miwani yake iliyomkaa vyema na kusalimia.
Halima... "Mumeshindaje vipenzi vyangu? " akina Mo Jay wakajibu "Tupo salama mamy". Waliingia ndani kwa pamoja kwa uchovu wa Halima, akapumzika katika sofa na kumwambia Husna. "Husna naomba maji tafadhali".
Wakati huo Mo-Jay akiwa amekaa akisubiria wakati ili akamchukue boss wake.
Halima akashindwa kuvumilia na kuamua kumuuliza jina Mo Jay. "Kijana ulisema unaitwa nani vile? "
Mo Jay akamjibu kwa tabasamu. "Kwa jina naitwa Mohammed Juma, au unaweza kuniita Mo Jay". Kabla ya Husna kumletea maji Halima, Halima akamwambia "Na niliambiwa wewe ndiye dereva wa mume wangu, nasikia sana sifa zako kwamba upo vizuri katika kushika usukani.".
Mo Jay, akamwambia mam Halima. "Kawaida mamy, na ni jambo ambalo nishalizoea mikononi mwangu". Halima akiwa anataka kumnasisha Mo Jay katika himaya yake bila ya kujua, kisha akamwambia...
Halima.. "Nataka kesho na mimi unipeleke katika hoteli moja inayoitwa SMART HOTEL." Kumbe Husna yupo katika pembe ya mlango akisikiliza maneno wanayoongea Halima na Mo Jay.
Mo Jay, hakupinga bali akakubali kwani yupo kazini na hataki kupoteza kazi yake.
Ilifika muda wa Mo Jay kwenda kumchukua boss wake.
Akaamua kuwaaga "Jamani muda wangu hauruhusu kubakia hapa kwa sasa acha nitoke." Mo Jay, kunyanyuka katika sofa la upande wa kushoto. Husna akafika akiwa ameshikililia kikombe cha maji, ila kwa bahati mbaya akateleza bila ya kujua kwa haraka haraka za baraka Mo Jay akamdaka Husna kama embe linalotoka kileleni, na kumuweka kifuani mwake huku glass ya maji ikaachwa peke yake kwani bora kupoteza kisicho cha muhimu kuliko kupoteza maisha yako.
Husna, akajikuta yupo juu ya kifua cha Mo Jay. Ilikuwa ni nusura ya tundu la sindano. Moyo wa Husna ukizidi kudunda kwa mapigo ya haraka.
Husna akashukuru sana na kumwambia Mo Jay mbele ya mam Halima "Nakupenda sana, na nashukuru kwa hili". Mo Jay akamjibu huku akiondoka zake nje. "Usijali kwa hilo baadae".
Mo jay, akawaacha na kuingia ndani ya gari kuelekea kwa boss. Mlinzi geti akafungua geti upesi kisha Mo Jay akapita.
INAENDELEA...
KIFO CHA MENDE 🔞
SEHEMU YA 18
Huku upande wa pili, mam Halima akaanza kumsema Husna kwa maneno makali. "Husna huna umakini kwa kazi, haraka hizo zilikuwa za nini au unampenda huyu kijana?".
Husna kwa upole wa maneno akamwambia "Hapana mam, ni bahati mbaya naomba unisamehe bure".
Halima, aliingiwa na chuki moyoni mwake. Na kuanza kumnyanyasa Husna katika nyumba hiyo.
Lakini Husna alikuwa na uvumilivu na subra yake.
Kabla wakati haujakwisha honi ya gari ikasikika nje.
Halima na Husna wakajua wazi ni bwana Rajabu anaingia.
Walikaa ange kumpokea, bwana Rajabu kutangulia mbele kuingia ndani.
Huku furaha za Halima zikienea maeneo hayo, na nyuma ni Mo Jay.
Mo Jay, baada ya kumfikisha boss wake nyumbani kwake. Akaamua kuwaaga na kurudi zake nyumbani, kesho yake iliwadia ilikuwa siku ya jumapili kila mmoja kupumzika nyumbani.
Kwa gafla, simu ya Mo Jay ikaita. Kutazama ni namba geni kwake akaamua kupokea.
Mo Jay.. "Hellow, nani mwenzangu?" Mo Jay akauliza.
Namba geni... "Ni mimi Halima mke wa boss, samahani kwa usumbufu. Na japo haupo kazi leo naomba uje unipeleke sehemu mara moja, kisha nitakupa pesa uitakayo".
Mo Jay, hakupinga kwa kazi hiyo ya kuchukua pesa haraka.
Akamjibu "Sawa nakuja sasahivi".
Mo jay, baada ya kujiandaa akachomoka mpaka kwa boss wake. Kufunguliwa geti, akamkuta Halima tofauti sana kimuonekano wake. Mtoto jinsi alivyorembeka mithili ya mbaa la mwezi. Lakini akili ya Mo Jay, ikamwambia ingia ndani ukamsalimie Husna.
Baada ya kusalimiana na Halima, akaingia ndani Mo Jay lakini hakukuta mtu sebuleni akaamua kurudi.
Bila ya kupoteza wakati, wakaingia ndani ya gari na Halima mke wa boss.
Mo jay, akangurumisha gari baada ya kupewa ufunguo. Nalo likakubali kwa mkono wa Mo Jay.
Kama kawaida ya mlinzi kufungua geti. Mo Jay, akatelezesha gari mpaka katika HOTEL SMART.
Walishuka kwa pamoja, ila cha ajabu Halima akamwambia Mo Jay. "Ni subiri hapa nakuja mara moja".
Mo Jay akamjibu "Sawa".
Halima, kumbe alikuwa ni msiri wa moyoni katika Hotel hiyo walipanga wakutane na Hemed..
Halima, akamtafuta Hemed kwani watu walikuwa wengi sana katika hotel hiyo. Ile kutupia jicho sehemu ya mbali, akamkuta akiwa amekaa. Alikuwa ni mchepuko wake, akamfuata na kuonana.
Kisha wakapelekana ndani ya chumba kimoja. Na kuanza kunyonyana midomo kwa kupitishiana ulimi. Huku Halima akibamizwa na ukuta... Utamu ukaingia.
Huku Mo Jay, akisubiria mtu nje.
Kwa upande mwengine, Bwana Rajabu akiwa nyumbani bila ya kujua mke wake amekwenda wapi. Akaamua kumuuliza Husna. "Husna huyu Halima anaakili kweli?"
Husna akamwambia.. "Sijui boss wangu". Bwana Rajabu. "Atatokaje kirahisi rahisi hivi, wapi anakwenda" Husna akamwambia boss wake. "Ametoka pamoja na Mo Jay". Hili lilimkera Bwa-Rajabu. Halima hakuwa mstaarabu kwa mume wake, wala kuheshimu uwepo wa mume wake.
Bwana Rajabu, akampigia simu lakini simu ikawa imezimwa haikuwa hewani.
Akaamua kumpigia Mo-Jay,.
Kwa gafla simu ya Mo Jay, ikaita huku akiwa amesimama pembeni. Akaitoa mfukoni, kutazama ni boss wake. Moyo ulimshtuka na hakuweza kukataa kupokea simu akaamua kumsikiliza.
Mo jay... "Hellow boss wangu".
Bwa-Rajabu akiwa na hasira za mkizi na kuanza kutamka "Huyo mpumbavu yuko wapi hapo? ".
INAENDELEA.........
na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu
KIFO CHA MENDE 🔞
SEHEMU YA 19
Mo jay, akamwambia kwa kumjibu "Yupo salon boss wangu namsubiria hapa sahizi" baada ya kumjibu simu ikakata gafla na mawasiliano yakapotea kwa muda huo. Bwa-Rajabu akamtamkia Husna "Halima mke wangu, ana matatizo akiendelea na uhuni huu sitoweza vumilia hapa nitamtimua mara moja". Husna hakumjibu chochote kile mbali na kuwa kimya zaidi...
Kwa upande mwengine, Halima akiwa ameshikwa kwa mikono ya Hemedi. Juu ya kitanda wala hafikirii kwa ameacha mtu nje, kweli huba lilipamba moto. Hemedi akamtembeza mikono mapajani huku akimnyonya Halima kitumbua kwa ustadi, Halima akizidi kujitanua mapaja huku akitoa sauti za mahaba.. "Aaaaaaaaaiiiiisssss....mmmmmmnnhhh...uuuuuuiiiiiiisssshhhhhh...baby slowly dadyyy aaaaaaasssssshhh...".
Hemedi, akizidi kumpagawisha Halima. Kwa ufundi wa hali ya juu.
Mo Jay, hakuvumilia kwa kuachwa nje kama mjinga. Akaamua kuingia ndani ya Hotel hiyo ili ajue kipi kinaendelea kwani amemsubiria muda mrefu sana. Halaiki ya watu tofauti tofauti wakiwemo humu waarabu, wazungu na waafrika. Mo jay, alichanganyikiwa kwa macho yake kwani hajui wamejifichia wapi, ila akazidi kusogea mbele huku watu wakimtazama kwa macho.
Mo jay, alifika katika sehemu ya vyumba vyenye milango iliyopangika. Hajui walichoingia, na kuanza kujisemea kimoyo moyo. "Kazi hizi ndio zitafanya wengine kufungwa maana lawama zote zitatua kwangu mimi".
Halima akizidi kupagawishwa na Hemedi. Mtoto laini mwenye penzi la kujiachia, Hemedi akamuingiza vidole katika kitumbua na kuanza kufyekecha fyekecha. Mtoto akizidi kutoa viliyo tofauti.. "Uuuuuuuuuiiiiisssssshhh...mmmmmmnhhh..aaaaaaaaaiiiiisssss..jamaniiii aaaaauuuchh ongezaaaaaaa tenaaaaaaa babyyyy...." Hemedi hakujali, kwa viliyo bali alizidi kumpa utamu mtoto wa watu na mke wa mtu. Kama wanavyosema mke wa mtu mtamu ila jiandae na sumu yake..
Kwa kadri Mo Jay, anavyozidi kusogea mbele. Akaanza kutuliza sikio lake kwa kila milango wa vyumba, baada ya zoezi hilo. Huku Halima akipewa utamu dadeki. Hemedi akamwambia "Acha nikupe utamu baby" Halima akili yake yote ipo kwenye kupewa utamu, na hajui kwamba mambo yanataka kuharibika..
Mo Jay, akaanza kufanya zoezi hilo. Mpaka akafika katika mlango mmoja akasikia sauti ya miguno ikisikika pande mbili huku na kule kwa vyumba viwili. Hapa alizidi kuchanganyikiwa Mo Jay, akaamua kushuka kwa haraka haraka chini mpaka kwa mdada mmoja anayekabidhi funguo hizo za vyumba
Akamwambia "Samahani, nataka unionyeshe majina ya wale waliopo katika vyumba" Yule mdada akamshangaa Mo Jay, na kumwambia "Wewe kaka vipi? Umetumwa".
Mo Jay akamwambia "Hapana, ila nataka kujua tu, kwani mke wangu yupo humu ndani na usipinge."
Mdada, hakuwa na ubishi akamuonyesha namba ya vyumba viliopo na watu na majina yao. Cha ajabu hakuona jina la Halima hapo. Mo Jay, alishangazwa na ujanja wa Halima. Na kutamka "Daah.. Huyu mwanamke mjanja sana, ila hawezi nizidi ujanja mimi". Mdada yule akamwambia. "Pole sana kaka yangu, sisi twachukua pesa tu zitakazo kuja hatuwezi jua hayo".
Mo jay, alipoona muda unakwenda. Akaamua kumueleza. "Mdada wangu naomba tusaidiane kwa hili, nataka uniambie hawa waliopo katika hivyo vyumba wako vipi kimuonekano na namba zao".
Kabla sekunde haijaisha, simu ya Mo Jay ikaita kwa mara ya pili. Akaitoa mfukoni mwa suruali, kutazama ni boss Bwana Rajabu. Akaiweka sikioni.
Bwana Rajabu akitamka.. "Hallow kijana, mpatie mke wangu simu mara moja".
Daah..!! Hapa ndipo Mo Jay alizidi kutokwa na jasho la titiriri.. Mo Jay akamjibu "Sawa boss wangu, subiria nimpelekee".
Bwana Rajabu akamuuliza "Kwani haupo nae karibu?".
Mo jay, akamjibu "Hapana boss, nimemuacha akitengezwa nywele si wajua penye wanawake wengi wape nafasi yao". Bw-Rajabu akaamua kukata simu. Mo jay, hakupoteza muda akaamua kurudi tena.
Kurudi, akakutana na watu wawili mke na mume ndio wanatoka katika chumba kingine. Mo jay, akahisi waliobakia ni hao tu. Alifika bila wasiwasi katika mlango huo akatega sikio lake. Akisikia sauti zikiongea, Mo Jay akaanza kurikodi sauti hizo kwa simu yake.
Baada ya kumaliza, bila ya haraka, akagonga mlango huo.
Halima na Hemedi, walishtuka kwa mshtuko wa gafla. Na kukurupuka kitandani, ile Halima kutaka kutamka Hemedi akamziba mdomo na akatamka yeye. "Nani anagonga mlango...?"
Mo Jay, akatamka kwa kubadilisha sauti "Ni mimi muhudumu, fungua mara moja" Kabla dakika tano hazijaisha simu ya Mo Jay, ikaita tena. Kutazama ni boss Bw-Rajabu. Halima akitakitetemeka hapo alipo, hajui afanyeje kuchepuka kwake kulimfanya ajutie muda huo...
Mo jay, kupokea simu. Huku Hemedi akifungua mlango...
Hemedi akaonana na Mo-Jay akamwambia "Sema kijana tatizo lako". Mo-Jay akiendelea kuongea na boss kupitia simu huku akimwambia boss wake. "Mke wako yupo hapa" Bwana Rajabu akamwambia. "Mpatie simu mara moja". Kisha akiwa ameweka sauti ya juu. Hemedi na Halima walishtuka kwa mapigo ya gafla katika nyoyo zao.
Hemedi, hakuelewa kinachoendelea na kuanza kuuliza maswali. "Kwani kaka vipi?" Mo Jay akamwambia "Tuliza mawenge ndugu". Halima akakurupuka moja kwa moja mpaka kwa Mo Jay aliposikia mpatie simu. Akaichukua simu ya Mo Jay, kisha kuiweka sikioni na kuanza kujibebisha kwa Bwana Rajabu.
"Baby nilikuwa mbali nisamehe bure mwenzio"
Bwana Rajabu akimwambia.. "Sikiliza Halima, unapoenda sipo na njia ya muongo ni fupi kama barabara ya kuzimu".
Halima akizidi kulalama "Hamna baby, nakuja sasahivi"
Kisha simu ikakatizwa kwa maongezi, Halima hakupendezewa kwa Mo Jay. Lawama zote akampachikia Mo Jay kwa kumwambia "Wewe ndiye umefanya yote haya." Hemedi hakuwa na usemi bali kunyamza tu kimya. Kisha Halima akavaa nguo zake alizokuwa nazo.
Baada ya kumaliza, akampa busu Hemedi kisha mbele ya Mo Jay.
Halima hakuwa msiri wala kuogopa na kumwambia Mo Jay maneno huku wakiwa wametoka katika vyumba vya wageni na kumuacha Hemedi. "Handsome wangu, hata wewe ukitaka nakuachia mchezo uchezee". Mo Jay akamjibu "Sitaki magonjwa mimi mtoto wa mwenzio". Halima akicheka "Haha hah..acha kuogopa utamu huu".
Walifika katika gari, huku Halima akimwambia Mo Jay maneno makali ambayo hakutarajia kuambiwa. "Tafadhali usimwambie mume wangu kwa haya niliofanya. Na ukimwambia tafuta pakukimbilia". Mo Jay hakujali kwa maneno ya Halima bali kumuitikia tu. Mo Jay akawasha gari na kuliweka sawa kisha wakachomoka mpaka nyumbani, muda haukuwa mwendo kasi walifika mara moja kufunguliwa geti na mlinzi. Halima alishtuka alipomuona Bwana Rajabu akiwa amesimama katika mlango. Halima alikuwa hawara mwenye kutoa penzi lake nje ya ndoa.
Walishuka katika gari, huku Halima akimkimbilia mume wake. Kutaka kumkumbatia bwana Rajabu, alikataa katakata na kumwambia "Sitaki unikumbatie"
Halima alishikwa na hofu moyoni na kumwambia "Mume wangu, nini kimekupata?".
Bwana Rajabu, hakutaka hadithi nyingi aliondoka maeneo hayo na kuelekea zake sebuleni. Huku ajipiga piga kichwa kwa kusema. "Najuta kwa mwanamke huyu mpumbavu". Halima alipoona maji yanataka kuzidi unga akamfuata Bwana Rajabu.
Halima "Darling, niambie nilipokosea nijirekebishe mpenzi wangu". Halima akiwa anampambia maneno bwana Rajabu lakini akili yake bado ipo kwa Hemedi. Bwana Rajabu akamwambia "Hii ni mara ya pili ya tatu ninauwezo wakuamua kile ninachotaka kufanya."
Baada ya kuambiwa maneno hayo, Husna alijitokeza baada ya kumaliza kazi zake za nyumba. akamwambia Bwana Rajabu "Mjomba nishamaliza kazi".
Bwana Rajabu, akamwambia "Sasa Husna unaweza kupumzika". Husna akajibu "Nashukuru kwa hilo".
Halima akiwa bado anataka msamaha kwa mume wake. Lakini kwa kuwa Bwana Rajabu ni muelewa akamwambia "Nishakusamehe ondoa hofu." Halima alizidi kufurahi na kumbusu shavuni mume wake.
Zilipita siku mbili, wakiwa kila mmoja na shughuli zake.
Mo Jay na boss wake, wakiwa wamekaa pamoja katika hotel takriba ya saa moja usiku. Mo Jay akamwambia Boss wake. "Boss nataka nikwambie kitu kimoja, kumhusu mke wako Halima.
Bwana Rajabu, akiwa anakaa vizuri kumsikiliza Mo Jay na kumwambia.
"Ehee niambie hicho kitu"
ITAENDELEA
KIFO CHA MENDE 🔞
SEHEMU YA 20
na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu
Mo Jay.. "Unajua kwamba mkeo anatoa penzi lake nje?. Bwana Rajabu akajibu "Sijui ndugu".
Basi mkeo anatoa penzi nje yako bila ya wewe kutambua hebu mfuatilie katika mambo yake, anayokwenda". Bwana Rajabu. "Daah.. Kwa hili nitafanya hivyo, ili nihakikishe kama ni kweli".
Hapo hapo Mo Jay, akatoa simu na kumuonyesha bwana Rajabu picha ya Hemedi. Kisha akamwambia "Ndiye huyu jamaa anayetembea na mkeo, lakini nataka nikupe ujasiri. Kwanza kabisa ingia naye urafiki bila ya yeye kutambua wewe ni mtu wa aina gani, kwani huu ndio urahisi wakujua wala usimuulize mkeo".
Bwana-Rajabu akamshukuru sana Mo Jay, na kumwambia "Asante sana ndugu, maana nilikuwa nishakata tamaa moyoni kwakuwa umenipa ujanja basi nitakupa zawadi".
Baada ya kutulia kidogo, bwana Rajabu akauliza swali. "Mbali na hayo, huyu jamaa nitampata wapi?".
Mo Jay akamjibu "Huyo jamaa yupo katika Hotel ya "FURAHA HOTEL" ndipo anapofanyia kazi ya uhudumiaji".
Bwana Rajabu akamwambia "Asante sana ndugu nitalifanyia kazi".
Baada ya dakika chache, wakaamua kurudi nyumbani. Kwani kulizidi kuwa giza zaidi.
Bwana Rajabu, alifikishwa nyumbani mara moja. Huku mawazo yakizidi kumzonga katika kichwa chake, geti lilifunguliwa na kuingia na gari lao, iliingia saa Nne za usiku Halima akiwa bado yupo sebuleni. Alimkumbatia mume wake bwana Rajabu na kumwambia "Pole sana mume wangu kwa uchovu, karibu ukae".
Bwana Rajabu, akamjibu huku akikaa katika sofa. "Asante sana mpenzi", kwa upande mwengine Mo Jay akitafuta sehemu kisha akajipumzisha. Bwana Rajabu akamuuliza, "Vipi leo utalala hapa?". Mo Jay akamjibu kwa tabasamu "Ndio boss itabidi nilale tu kwani usiku ni mwingi".
Halima akamuita Husna. Husna alikuja mara moja. Na kuitikia "Abee mam, nimekuja niambie Shkamoo".
Bwana Rajabu. Akajibu salamu ya Husna "Marahaba mwanangu". Ila cha ajabu alivalia kanga moja tu iliyomfanya Mo Jay kutekwa akili ya mawazo machafu ndani yake. Lakini kwa macho ya Husna yalilenga moja kwa moja hadi kwa Mo Jay. Kwa kumkonyeza. Kabla ya kutaka kutumwa kile alichoitiwa, Halima hakupoteza muda akamwambia "Waandalie chakula mara moja". Husna akafanya kama alivyoambiwa.
Halima, akazidi kumsogelea Mume wake. Kwa macho ya mlegezo huku akimuonyesha tabasamu la kiaina, na kumwambia "Mume wangu, sichoki kukupenda, leo nimekuandalia mazuri chumbani, kula ushibe ukaote kisha uje". Bwana Rajabu. Akamjibu "Sawa mpenzi tusubiri muda ufike kwanza".
Kabla muda haujapotea, Husna aliandaa maakuli mezani na matunda mbali mbali yaliyoiva.
Wakati huo Halima akiwa na furaha moyoni mwake, lakini alitegea jambo kwa bwana Rajabu. Na Bwana Rajabu anategea jambo kwa Halima, wote wanategeana.
KIFO CHA MENDE 🔞
na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu
SEHEMU YA 21
Wakati wote wapo mezani wanakula na kuangaliana uso kwa uso. Husna alijisikia hamu na Mo, na kuanza kumrushia miguu katika mapaja yake kisha kumtazama kwa haiba ya mahaba. Hili lilimfanya Mo, kujinasua lakini iikuwa nadra kwake. Kwa gafla Halima akamshtukia Husna, na kumwambia "Husna unamatatizo gani?". Husna akamjibu "Hapana mam nipo kawaida tu". Bwana Rajabu. Akaingia kati na kumfokea Husna, "Husna hatulii kwa kawaida, sijui ana matatizo gani". Mo Jay akaingiza maneno yake na kusema. "Labda ananiogopa nikimtazama". "Hahaha" vicheko vikatawala hewani na kila mmoja kufurahia.
Muda haukuwa msumeno, bali ulizidi kupotea. Na kila mmoja akamaliza kula, hapo hapo Halima na Bwana Rajabu. Wakaondoka maeneo hayo bila shuruti, akabakia Mo Jay na Husna sebuleni. Yani chui wanamuachia mbuzi ailinde. Lazima italiwa tu,
Halima pamoja na bwana Rajabu waliingia chumbani baada ya kuoga na kila mtu kutakata. Halima alimshika mume wake na kumlaza kitandani, na kumpandia kwa juu huku akiwa na kanga iliyotoswa na umaji umaji.
Mtoto ana kiuno mithili ya nyigu, na kuuacha msabwanda kutikisika. Kisha akamwambia Mume wake huku akimvulia kanga na kumuonyesha chuchu zilizomvutia Bwana Rajabu. "Leo baby, nipe utamu wa asili. Nishike popote. Aaaaaiiiissssss.."
Hatimaye, bwana Rajabu. Alijihisi midadi ikimkolea moto. Na kutaka kutumika, Halima alikuwa mwenye maujuzi mtoto huyu. Alianza kumnyonya mume wake kifuani taratibu, kwa ulimi ulivyo talii maeneo hayo. Huku bwana Rajabu, akianza kujisahau mwishoe akatoa sauti za miguno. Alimtembeza taratibu mpaka tumbo na kuchanganya na kitovu chake. "Aaaaauuuchh aasssssss....mmmmmnhh... Tamu kwelikweli ooooohh...aaaaaaaiiiiiisssshhh...".
Halima, alizidisha kumpa mume wake utamu wa mahaba. Huku chumba kikinukia udi na marashi ya kizanzibar, walimaliza tendo lao. Na mwishoe Halima akamwambia mume wake "Baby, kesho naenda kwenye harusi ya rafiki yangu. Naomba uniruhusu sitokaa sana". Bwana Rajabu. Kwa upole wake hakukataa alimkubalia kwa kumtamkia "Sawa mke wangu wala usijali".
Rajabu, hakuona ubaya bali alichotaka ni ukweli tu. Na simulizi yote anaijua tu kumuhusu Halima.
Kwa upande mwengine, Husna alimjia Mo. Katika chumba alicholala na kuanza kumgongea mlango kwa utaratibu. Kwani Husna alijawa na midadi isiyopimika. Kumtamani Mo kwa kumpa utamu, Mo alishtushwa kwa mbisho mlangoni akaamua kuufungua ile kufungua akamuona Husna amesimama mlangoni akiwa amevalia kanga na macho ya kusinzia. Kwa gafla alimsukuma Mo ndani zaidi na yeye akaingia kisha akaufunga mlango na kumsogelea Mo huku akimwambia "Vyenye nakumiss Moo, sitaki maswali nataka kut*mbwa mwenzio".
Mo akiwa na wasiwasi mithili ya muwasi, Husna hakujali ila anachojali ni kupata utamu.
Husna alimshika Mo bukta yake kwa mpapaso wa mahaba kisha akampa busu la gafla hapo ndio mwendo ulizidi kupamba moto. Husna na Mo walionyeshana minyonyano ya kutamaniana kwa hamu na hamamu yake..
Husna, alizidiwa na utamu. Na kuanza kuivua bukta ya Mo huku akitoa sauti za mahaba ndani ya chumba "aaaaaaaaaiiiiisssss...mmmmmmnnhh...aaaaah..uuuuuiiiissshhh. "Mo kwa utaalamu wake akampitishia ulimi shingoni mwa Husna mpaka masikioni Husna ndio akazidi kupotea na mwili kujiachia lakini Mo akimzuia na kuzidi kumpa mtekenyo shingoni.
Huku akishuka na kuivuta ile kanga, Husna akabakia kama alivyotoka sayari ya tumboni. Mo akafakamia chuchu na kuanza kuzitalii kwa kupitisha pembe.
Husna ndio apendavyo michezo ya Mo, "Aaaaaaaaaaaaaaaassssssssssshhhhhhh.....mmmmmmmmmmmnnnhhh. Oooooooooiiiiiiiiisssshhhh. " babyyyy taratibu.
Mo alipoona haitoshi, akampeleka hadi kitandani kisha akamsogeza kwake na kuzidi kumtembezea ulimi taratibu.. Husna alianza kujikunja mithili ya nyoka aliyejeruhiwa, kumbe ndio utamu unazidi kuchochewa.
Hapo hapo, bao la Husna aliliachia na hakutaka tena. "Baby basi, tena nimetosheka."
Mo Jay, akamshangaa na kuanza kumwambia "Wewe tayari mimi bado, mbona hivyo". Husna alimuacha Mo na nyege zake akaondoka bila kusema kitu. Hili lilimkera sana Mo. Hakupenda.
Siku ya pili, iliwadia Halima akiwa hayupo nyumbani kama alivyopatiwa ruhusa kuondoka. Halima akaanza kuwasiliana na Hemedi akielekea harusini
Halima akimpigia simu Hemedi lakini haikupokelewa.
Bwana Rajabu, Na Mo wakiingia katika Hotel ya FURAHA hotel. Kumtafuta Hemedi, lakini kwa mbali walimuonea kwa mbali akiingia katika gari lake.
Bwana Rajabu. Na Mo, wakaamua kumfuata lakini kwenye njia nyengine kwani Mo alikuwa mjanja kwelikweli na boss wake kumuamini.
Huku Halima, alifika kwa mashoga zake wakiwa ndani ya ukumbi mwa Bibi Harusi.
INAENDELEA....
na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu
KIFO CHA MENDE 🔞
SEHEMU YA 22
Halima akiwa amekaa na mashoga zake, hatimaye Hemedi akampigia simu Halima.
Halima hakuogopa bali alipokea.
Hemedi.. "Hellow Halima, niambie.
Halima.. "Nipo harusini njoo mara moja, katika maeneo ya BARIZI HALL barabara ya kwanza tu".
Hemedi.. "Sawa dear nakuja mara moja".
Daah..!! "Kumbe, simu ya bwana Rajabu, Ina record simu ya Halima kwa kile atakachoongea." Bwana Rajabu, akicheka kwamba ni mazuri.
Mo alimshangaa boss wake na kumuuliza "Boss vipi tena, mbona unacheka badala ya huzuni".
Bwana Rajabu. Akamwambia "Hapana, kwani nifuraha kumshika mtu mwerevu wakati wewe anakuona mjinga".
Mo, alipitia njia ya tofauti mbali naya Hemedi.
Walifika na kupakia pembeni kabisa, kwani kulikuwa na magari mengi hadi unaweza changanyikiwa lakini hawakushuka walimuona Hemedi akiingia katika Hall hiyo, nje kukiwa na walinzi wenye sura za hasira na miili yao iliyotuna.
Kabla muda kuwa lelemama, Halima na Hemedi walitoka kisha wakaingia ndani ya gari la Halima.
Huku wakionekana kwa jicho la tatu, bila ya wao kujua. Kisha wakatoweka.
Na Mo akawasha gari, kwa haraka na kuwafuata kupitia njia nyengine..
Hili lilimfanya Bw-Rajabu kuwa mnyonge na kutoweza kumuamini tena mke wake Halima. Wakati wakiwa ndani ya gari kwa haraka Mo alimhenezi kwa maneno ya polepole kabisa, na kumwambia "Boss huyu mwanamke bora uachane nae, la sivyo atakuja kukuua mbeleni".
Bw-Rajabu hakuwa na usemi, japo anaumia kindani ndani hadi maini yanamkatakata kwa ndani huku ubongo ukimtokota mithili ya maji ya uvuguvugu.. Bw-Rajabu hakuwa na raha, hasira zilimtinga usoni. Hatimaye wakina Halima na Hemedi walipotelea njiani.
Mo na Boss wake walistaajabu kwelikweli. Na kuanza kujiuliza maswali hainati, njia panda zilijitokeza kama Mwenye Enzi anavyopanga mikakati yake. Akawaonyesha njia, na akili ya Mo ikamtuma kwa haraka haraka pitia njia ya kushoto.
Bw-Rajabu, hakumuelewa Mo. Na wala hakuwa na maswali alimtazama tu kwa macho ya pembe, Bw-Rajabu aliamini kwamba njia ya muongo ni fupi wala haina mwisho wake. Au ni sawa na kusema siku za mwizi ni arobaini. Mo akizidi kutembeza gari bila wasiwasi.
Walifika katika sehemu yenye kupakiwa magari. Pembeni kukiwa na halaiki ya watu, wakiwa katika harakati za biashara. Na wengine wakicheza michezo ya dumna.
Kwa himahima Bw-Rajabu alimwambia Mo. "Hebu ipaki gari pembeni nikanunue sigara mara moja." Mo alifuata amri akalipaki pembeni, kwa gafla ya macho wakaliona gari la Halima, Mo akamuuliza boss wake. "Boss tazama hii gari sio ya mke wake Halima?".. Bw-Rajabu akaitazama vyema kwani anaijua kuanzia nje hadi ndani, kisha akamjibu. "Gari ndio hii kabisa, acha tushuke tuwaulize wenyeji wa mji". Basi walishuka huku watu wakishikwa na butwaa ya gafla, kwani gari iliyopakiwa sio ya kimasihara. Na watu kuanza kuhisi ni mkubwa flani.
Kwani Mo alikuwa ametinga miwani myeusi na viatu vyeusi na T-shirt nyeusi na suruali nyeusi. Hili liliwashtua waja waliokuwa maeneo hayo, boss akiwa amevalia kikawaida tu.
Bila ya kupoteza wakati, waliamua kuwauliza vijana hao waliokuwa karibu. Mo ndio mwenye kauli akaamua kuwauliza, "
Mo.. Vipi jamaa..." Masela wakajibu "Safi boss".
Mo akauliza.. "Nauliza wenye hii gari mumewaonea wakielekea njia gani?" Masela wakataka kukaba hawakutaka kusema. Wakati jua linazidi kuwa kali sana, Mo kwa akili nyingi. Akawatolea kitita cha pesa mfukoni akawaambia "Yeyote atakayesema au kutuonyesha zawadi yake hii hapa".
Masela kwa kuwa njaa zimewazidia na hakuna mishemishe, na hawana hili wala lile. Mmoja akaamua kunyanyuka na kuwaambia, "Mimi nitawapeleka pale walipo". Pesa mbaya kweli, zinaweza vunja hata mlima.
Kwakua mmoja amejitokeza na wao wakataka wapeleke.
Bw-Rajabu, akiwa pembeni anasikiliza na kuona. Mo akawaambia "Itabidi twende wote, kwani kila mmoja atapata elfu ishirini ishirini." Masela kusikia hivyo waliamua kunyanyuka kwa rabsha na furaha. "Twendeni twendeni".
Waliongozana, huku Mo na Boss wake wakiwa nyuma. Hatimaye walifika katika Hotel inayoitwa WELCOME HOTEL. Masela wakawaambia akina Mo, "Boss hapa ndipo walipoingia, sasa tuachie chetu tusepe". Mo akawaambia "Subirini hapa nje au mtusubiri kule kilingeni tutakuja kuwapatia." Masela wale, hawakupinga kwani wanajua gari liko kule na kuamua kurudi
Hatimaye waliingia katika Hotel hiyo, watu wakishangaa na kuwatazama kwa kina. Moja kwa moja mpaka kwa mwenye hotel, Mo akasalimia
"Habari yako boss?.
Akajibu, "Safi.." Mo akatoa picha ya Halima na Hemedi na kuuliza "Hawa watu tunaambiwa wameingia katika hii Hotel ni kweli?.
Akajibu kwa kudanganya, "Hapana hata siwafahamu kwakweli."
Mo akamwambia "Boss acha kutuficha, unajua ukitudanganya tunaweza kukufunga sasahivi. Na hii biashara yako tukaifunga mara moja.
Jamaa akauliza, "Kwani nyie ni akina nani". Mo akamjibu "Usitake kujua, sisi tutakaa tuwasubiri hapa. Tukiwaona wametokeza ujue tunakufunga na kazi yako tunaifunga tumeelewana?."
Jamaa, alipoona sio kwema tena. Akaamua kuwaonyesha chumba kwa namba 456. Mo akamwambia "Asante sana, ubarikiwe.
Mo na boss wake, waliamua kuongozana kwa kupanda ngazi mpaka chumba cha namba 456. Walifika mlangoni, na kuanza kugonga mlango kwa nguvu.
Kwa upande mwengine, Halima na Hemedi wakipeana mautamu huku Halima akiwa amekunjwa ipasavyo na kuegemezwa ukutani.
Kwa gafla, ya kugongwa mlango. Walishtuka kwa hamaki kuu.
Hemedi pumzi kumuishia, na kujifunika na taulo na kuanza kuuliza huku akikaribia mlangoni "Ni nani?" Mo hakujibu, akiwa kimya tu. Na akagonga tena mlango. Hemedi akauliza tena "Ni nani, mbona husemi?".
Halima akiwa amejificha kabatini huku jakajaka la moyo kumuenea. Na kutetemeka kwani alihisi mgongaji mlango sio wa kawaida.
Hemedi akaamua kufungua mlango ili aangalie nani anayegonga ile kufungua. Akakutana na Mo kwa mara nyengine tena, lakini Mo hakutaka maelezo mengi zaidi kuparamia mlango na kumvuta Hemedi kwa mikono hadi nje ya chumba, kwa upande mwengine akakutana na Bw-Rajabu mwenye mali yake.
Hemedi alipotaka kutoa matamshi kinywani, akazimwa na kofi la uso mpaka sakafuni na Bw-Rajabu huku akiambiwa "Wewe ndiye unayejifanya kidume, tulia na ukae chini kabla kichwa chako kuwa halali yangu."
Hemedi, akijitetea huku kwa kusema "Jamani, mbona mnanipiga nimefanyaje."
Mo akimzuia chini na Bw-Rajabu kuingia ndani ili amuone mke wake Halima. Bw-Rajabu akizidi kumtafuta mpaka chini ya uvungu mwa kitanda. Ile kupiga jicho pembeni mwa ukuta, akaona viatu vya Halima.
Halima akiwa ndani ya kabati kubwa la nguo, jasho likimtoka mwili kumtetemeka mithili ya kifaranga aliye nyeshewa na mvua. Bw-Rajabu akaanza kuita jina la Halima kwa kusema.
"Halima...Halima...Halima.. Halima. Jitokeze kwa usalama wako kabla sijachukua hatua yoyote ile."
Halima alisikia sauti ya Bw-Rajabu ndio mwili ukaendelea kushikwa na mshtuko wa gafla, Hatimaye Halima alijitokeza akiwa anatoka uchi wa mtoto wa kuzaliwa ndani ya kabati huku machozi yakimdondoka na kusema kwa kigugumizi. "Ja...ma...ni, muu..me wangu....Na..o.mba msa..ma..haaa.." Halima aibu na ghadhabu kwa mume wake Rajabu, huku Hemedi akitokwa na macho mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango mkuu.
Bw-Rajabu, akamwambia kwa upole na ukarimu kwa kuwa ni mke wake. Na uchungu wa nafsi kwani kila kitu Halima alipewa anachotaka hakosi anapewa bila hiyana
INAENDELEA
na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu
KIFO CHA MENDE 23 🔞
SEHEMU YA MWISHOO
"Kwanza nyanyuka na uvae nguo zako na ukae kitandani". Halima alivaa nguo, kisha Bw-Rajabu akamwambia Mo "Mlete huyo mpumbavu mwengine." Hemedi, alinyanyuliwa na Mo kisha kusukumwa mpaka ndani na kukalishwa karibu na mzinzi mwenzie Halima.
Kisha Bw-Rajabu, akamwambia Halima mke wake huku akijifuta machozi machoni mwake. "Halima nilikuamini sana kwa utashi wako mwanzoni. Lakini maji ukayavulia nguo bado kuyaoga kwa sasa. Halima, nilikupenda na bado nitakupenda kwani siwezi kukuchukia. Halima, nilikuthamini lakini ukaona thamani yangu ni kama zawadi ukipewa ndio basi imepotea. Halima, vingi nimekufanyia na bado nitakufanyia kwani mtu fukara hawezwi kuachwa bila ya kupewa akiomba.
"Halima, umetoka kwenye bahari yenye kukutakasa. Lakini ukaona na matope yakuchafue, Halima....Halima...Halima. Sina la zaidi, ukihitaji msaada nitakusaidia pia pamoja na mwenzio."
Bw-Rajabu, hakuongeza maneno akamwambia Mo "Ndugu twende zetu nguo nishazivaa bado safari." Ile Bw-Rajabu kutaka kuenuka Halima, akamrukia Bw-Rajabu na kuanza kulalamika kwa kumbembeleza huku akilia kwa machozi.
Halima. "Jamani, mume wangu usiniache nikateseka bado nakupenda darling." Bw-Rajabu alimsukuma Halima hata hakutaka kumsikiliza kisha akamwambia "Wewe ni najisi na shetani muasi, usijaribu kunisogelea mbwa mwenye laana". Bw-Rajabu na Mo wakaondoka na kushuka mpaka chini. Hasira zilimvaa usoni mpaka kwenye ubongo.
Halima, akaanza kulia huku akijilaumu na kumlaumu Hemedi.
Kweli maji, yakimwagika hayazoleki. Kwa shetani mbaya wa Halima alimtuma ajitupe chini ya ghorofa, kwani ni aibu kubwa kurudi nyumbani na kusamehewa ndio basi.
Fikra za Bw-Rajabu alimfikiria sana Halima, kwani alimpenda kwelikweli. Yani alimganda moyoni kama ulimbo, Bw-Rajabu na Mo walisikia makelele ya gafla na kamsa za watu wakisema "Usijiue wewe....!! ". Kutazama ni Halima anataka kujitupa juu ya ghorofa.
Bw-Rajabu na Mo, walirudi haraka upesi. Na Mo kukimbilia katika chumba ili amzuie, huku Bw-Rajabu akimbembeleza na Hemedi kashakimbia. Kwa bahati ya nasibu, Mo alimfikia na kumshika mkono Halima wakati ndio amejiachia kwenda chini. Halaiki ya watu walijaa watoto kwa wazee, wamama kwa wababa. Halima nguvu zote alimuachia Mo, kung'ng'na kumuokoa kwa kumvuta Hatimaye alifanikiwa huku Bw-Rajabu akiwafikia.
Halima, alitaka kujiua. Ilipita miezi miwili walisameheana na kuendelea na maisha yao. Huku Halima akijaaliwa mtoto baada ya miezi tisa kuisha. Mo akamuoa Husna, na maisha yakawa vyema kabisa....
**MWISHO**
na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu
story zenye maudhui sawa
chombezo 🔞
tsh 1,500 kwa 2 , tsh 2,000 kwa 3!
1.mama aminaa
2.siyo mchoyo
3.zigo
4.panua
5.bedroom
6.penzi la shemeji
7.balaa la mchungaj
8.baba kama punda
9.penzi la baba angu
10.kigodoro ndani ya treni
11.penzi la mme wa mama
12.shule ya bweni
13.inama nichomeke
14.zigo
15.kibamia kilivyotaka kunitoa roho
16.nchi ya dhambi
17.unanitekenya
18.chumvini
19.huruma ya dudu
20.mama mkwe
21.balaa la mbuzi kagoma
22.nilipofungwa gereza la wanawake kimakosa
23.utamu wa jimama
24.familia ya laana
25.bedroom season two
26.kilaza
27.kisasi cha dudu
malipo Tigopesa 0654219079 jina Omary Omary!